mzee wa manzese
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 670
- 216
natumaini wote ni wazima,nina ndugu anasumbuliwa sana na mcho huwa yanawasha,yanatoa machozi hasa kipindi cha baridi,ninaomba kama kunamtu anamfahamu doctor mzuri wa macho atujuze tukamwone tujue tatizo tuko dar es salaam