INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

Ndio yale ulikuwa unasema halafu anakuja mteja na elfu 2 anakwambia naomba game dah, ila ni biashara yenye pesa sana basi tu, yaani umekaa tu ila unapiga hela kwa siku mtu wa duka la rejareja akaroge kukufikia na wala huna hata kazi ngumu [emoji23]
Game la 2000 akanunue huko anapopajua yeye,games bei ndogo ya kulia lia kbisa ni 10,000 na hilo game lisizidi 3GB likizidi tu hiyo size game bei inapanda..

sasa unakuja na 2000 unataka game Movie store labda upewe game kama snake xenzie,pool table,na mengine vi game vya MB (size) ndio bei zake.

Game ya kuanzia size1GB ni 10,000 kwenda mbele... Hayo ya 250GB bei zinaenda mpk 50k per game
 
JF kuna watu wana dharau sana hasa hasa kuchukulia poa hustle za watu, ili hali wengi wao humu wanaishi maisha ya kuigiza...

Ukitaka kujua mleta uzi anaongelea nini juu ya hii biashara, pata muda nenda kwenye ofisi za Bob paak iwe ni Kinondoni studio, sinza, Tabata, Mwanza au Dodoma.. Weka muda wa saa moja tu ukiwa unasubiria movies zako kuwekea kwenye flash then angalia order wanazopokea kutoka kwa wateja mbalimbali wanaopishana ofisini hapo, hauwezi juu hii ni weekend au ni katikati ya week, watu wako busy kuchukua movie...hapo ndio utajua kuwa kumbe hii ni bonge moja biashara


Tujifunze kutembea na kufanya research sio kuleta kejeli kwa kila jambo
 
bonge la mtu yuko peace sana.
NLImpgia simu kumpa tittle ya research yngu akanambia niende ofisn hapo kufka reception tu nkakutana na mtoto uyo aseeeeee atar kufka kwake kaicheki tittle afu akanpa na money heist kipnd hcho ndo imetka
 
Tatizo ni kuwa baadhi ya watu wanaamini mtu akiwa na kazi fulani au biashara fulani (wanazoamini wao) ndio wanaamini inaingiza pesa au ni uwekezaji umefanyika. Biashara zingine wanaziangalia juu juu hawajui uwekezaji wake wala mapato yake lakini wanajiingiza kuziongelea ni aibu.
 
NLImpgia simu kumpa tittle ya research yngu akanambia niende ofisn hapo kufka reception tu nkakutana na mtoto uyo aseeeeee atar kufka kwake kaicheki tittle afu akanpa na money heist kipnd hcho ndo imetka
mimi alikuja ofisini kwa chonjo pembeni hapo, akakuta na check movie ya anna akanikaribisha nika chukue movie ofisi kwake. Sio pouwa
 
mimi alikuja ofisini kwa chonjo pembeni hapo, akakuta na check movie ya anna akanikaribisha nika chukue movie ofisi kwake. Sio pouwa
haaaaaa we jamaa ntakuwa nakujua aseeee upo mda mrefu mipango hapo au
 
Hii biashara ukiwa na mtaji usio na mawazo, ni hela nje nje.. anti virus kwa biashara hii unajichanga tu unanunua ma kaspersky yapo tu na bei rahisi, acha za kudownload bure utapata shida tu..
Antivirus ya nini??tafuta window 10 iliyokamilika umememaliza kazi
 
kumbe tunafanya biashara ya movies tupo wengi humu jf
Wengi wakutosha tu,

shida watu wanaogopa kusema kazi zao kwasababu wanaogopa kuonekana hohehahe hawana mbele wala nyuma,hawajui thamani ya kazi zao.

Mtu anaogopa kusema yeye ni kondakta,hivi u konda n kazi yakuogopa kujisema? kazi unayoweza kukunja mpk 50k per day?

Mtu anaogopa kusema anasajili laini,hivi kuna kazi inayolipa kama kusajili laini wapendwa? faida ya wale jamaa hivi watu wanaijua? wapo wasajili laini anakusanya mpk 1M per month huyo n freelancer tu mtaani, Heshima kwa kazi zinazotuweka mjini imeisha,mtu Yuko radhi atoe tigo apge pcha kwenye gari ya basha ake aseme n gari lake Hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…