Movies Store
JF-Expert Member
- Mar 17, 2022
- 288
- 938
- Thread starter
- #181
Ndogo eeeh?Ushamba ni mzigo saaana
TB60 movies 4M
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndogo eeeh?Ushamba ni mzigo saaana
TB60 movies 4M
Leo ndio nimejua aisee, jamaa anatengeneza sana pesaNyandu Tozz ah weeee, B.O.B ni ya M/Kiti Kamati ya Uchumi UVCCM
Game la 2000 akanunue huko anapopajua yeye,games bei ndogo ya kulia lia kbisa ni 10,000 na hilo game lisizidi 3GB likizidi tu hiyo size game bei inapanda..Ndio yale ulikuwa unasema halafu anakuja mteja na elfu 2 anakwambia naomba game dah, ila ni biashara yenye pesa sana basi tu, yaani umekaa tu ila unapiga hela kwa siku mtu wa duka la rejareja akaroge kukufikia na wala huna hata kazi ngumu [emoji23]
bonge la mtu yuko peace sana.Yaaap na alteza alikuwaga supervisor wangu aseeeeee nlienjoy ni bonge la mtu aseeee
NLImpgia simu kumpa tittle ya research yngu akanambia niende ofisn hapo kufka reception tu nkakutana na mtoto uyo aseeeeee atar kufka kwake kaicheki tittle afu akanpa na money heist kipnd hcho ndo imetkabonge la mtu yuko peace sana.
Tatizo ni kuwa baadhi ya watu wanaamini mtu akiwa na kazi fulani au biashara fulani (wanazoamini wao) ndio wanaamini inaingiza pesa au ni uwekezaji umefanyika. Biashara zingine wanaziangalia juu juu hawajui uwekezaji wake wala mapato yake lakini wanajiingiza kuziongelea ni aibu.JF kuna watu wana dharau sana hasa hasa kuchukulia poa hustle za watu, ili hali wengi wao humu wanaishi maisha ya kuigiza...
Ukitaka kujua mleta uzi anaongelea nini juu ya hii biashara, pata muda nenda kwenye ofisi za Bob paak iwe ni Kinondoni studio, sinza, Tabata, Mwanza au Dodoma.. Weka muda wa saa moja tu ukiwa unasubiria movies zako kuwekea kwenye flash then angalia order wanazopokea kutoka kwa wateja mbalimbali wanaopishana ofisini hapo, hauwezi juu hii ni weekend au ni katikati ya week, watu wako busy kuchukua movie...hapo ndio utajua kuwa kumbe hii ni bonge moja biashara
Tujifunze kutembea na kufanya research sio kuleta kejeli kwa kila jambo
mimi alikuja ofisini kwa chonjo pembeni hapo, akakuta na check movie ya anna akanikaribisha nika chukue movie ofisi kwake. Sio pouwaNLImpgia simu kumpa tittle ya research yngu akanambia niende ofisn hapo kufka reception tu nkakutana na mtoto uyo aseeeeee atar kufka kwake kaicheki tittle afu akanpa na money heist kipnd hcho ndo imetka
haaaaaa we jamaa ntakuwa nakujua aseeee upo mda mrefu mipango hapo aumimi alikuja ofisini kwa chonjo pembeni hapo, akakuta na check movie ya anna akanikaribisha nika chukue movie ofisi kwake. Sio pouwa
lazima utakuwa unanijua sema jf tena ID.haaaaaa we jamaa ntakuwa nakujua aseeee upo mda mrefu mipango hapo au
alooooo kba ulivosema kwa chonjo tu nkajua mwanetu wwlazima utakuwa unanijua sema jf tena ID.
Antivirus ya nini??tafuta window 10 iliyokamilika umememaliza kaziHii biashara ukiwa na mtaji usio na mawazo, ni hela nje nje.. anti virus kwa biashara hii unajichanga tu unanunua ma kaspersky yapo tu na bei rahisi, acha za kudownload bure utapata shida tu..
Location?50 mpaka 70 kwa siku
BOB PAAK nilidhani ni nyandu maana BOB nilitafsiri B.O.BNimekupa hiyo,itunze kwenye notebook, YES ndie sio wa kufukuzana nae huyo mtu unaeza buruza ulimi.
kwamba ulijiongeza 😂BOB PAAK nilidhani ni nyandu maana BOB nilitafsiri B.O.B
Ushawahi kufanya hizi kazi?Mkuu ikitokea unahitaji kijana wa kazi ofisini kwako nicheki tufanye kazi
Wengi wakutosha tu,kumbe tunafanya biashara ya movies tupo wengi humu jf