Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,224
- 2,337
Daah nimeulizia yale mabango juu ya fremu mzee kama walizoweka cipher dot na bob paak ni ya moto kinooooma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni shingi ngapi kwani?Daah nimeulizia yale mabango juu ya fremu mzee kama walizoweka cipher dot na bob paak ni ya moto kinooooma
Case ni 10,000 mpaka 15,000 mtaani.Ushauri kuhusu kutumia hdd ya laptop kwa kuiweka katika case na kuitumia kama external katika Desktop.
Na je case zinauzwa bei gani.
Movies Store Chief-Mkwawa
Vipi speed ya mafile kufunguka katika desktop, maana huwa naona ukiweka hata external ya kawaida tu mafile huwa yanafunguka taratibu sio sawa na hdd zingine za port za ndani. Mbali na hilo vipi usalama wa HDD kuitumia hivyo kimbadala?Case ni 10,000 mpaka 15,000 mtaani.
Pia si lazima Case waweza Tumia waya wa Sata to usb.
Tafuta Usb 3.0 na chomeka Hdd kwenye usb 3.0 ya Laptop itasaidia. Pia jenga Tabia ya kugawanya vitu kwenye Mafolder, mfano folder la movies, Series then sub folder za Animation, action, adventure, fantasy etc then waweza zigawanya kwa miaka etc. Hii itasaidia kupunguza load ya Kusoma hayo mafile yote kwa pamoja.Vipi speed ya mafile kufunguka katika desktop, maana huwa naona ukiweka hata external ya kawaida tu mafile huwa yanafunguka taratibu sio sawa na hdd zingine za port za ndani. Mbali na hilo vipi usalama wa HDD kuitumia hivyo kimbadala?
Asante brother,ubarikiwe na karibu sana.Asante sana kaka kwa maelezo yako nimeelewa vema sana kaka nitafanya hivyo kaka kama ulivyonielekeza ngoja nipambane pambane tutawasiliana kibiashara zaidi kaka nakushukuru sana bro
Yale mabango bila kuwa na M mfukoni usiende tafuta fundi au kujitia unataka yaweka juu ya ofisi yako, Ni very expensive maana zinatumika ALCOBOARD mwanzo mwisho na Square Pipes hivyo vitu viwili hapo nilivyokutajia saivi ni vya MOTO MOTO hapo bado fundi halafu ndio ukute unataka dude kubwa aaaaaah utakimbia.Daah nimeulizia yale mabango juu ya fremu mzee kama walizoweka cipher dot na bob paak ni ya moto kinooooma
Ukitaka utengeneze hilo bango fanya njia unazoweza ukutane au uwajue wanao yatengeneza,watu wengi hutengenezewa hayo mabango na "middle man, sasa ukikutana na middle man na bango lenyewe ndio hilo,lazima ughairi.Daah nimeulizia yale mabango juu ya fremu mzee kama walizoweka cipher dot na bob paak ni ya moto kinooooma
Nimeona Chief kashakujibu hapo juu,ila narudia kujibu kwa faida ya wengine watakaokuja siku za mbeleni.Ushauri kuhusu kutumia hdd ya laptop kwa kuiweka katika case na kuitumia kama external katika Desktop.
Na je case zinauzwa bei gani.
Movies Store Chief-Mkwawa
computer kwa mtu anae anza isiwe kipaumbele,huwezi kuwa na computer kaliiii halafu huna bidhaa za kueleweka Elekeza nguvu zako kwenye mzigo computer tumia hata duo core ya 150k kazi itafanyika vizuri tu ujue tu namna ya kutumia computer vizuri.Natamani kuanzisha hii bihashara, lakini sina kifaa hata kimoja. Je ni specification gani ni muhimu kwa computer?
10M Sidhani hata bongo movies kwa career yao kuna mtu alishawahi fika budget hiiNazi Ignition
Unahisi laki 4 yako inauwezo wa kuzalisha ofisi ya namna hiiii? Unajua hii ofisi kwenye picha ndani inaendeshwa kwa HARD DISK zenye storage kiasi gani?
Kwa taarifa fupi tu, hii ofisi unayoiona kwenye picha ndani ina Movie Store za ukubwa wa ONLY 40TB, just 40TB
Kupata Mzigo wa hii ofisi wote 40TB (cream movies) itakugharimu 10mil i hope umesoma vyema na unaelewa 10MIL unaweza nunua BOxer ngapi ukaingiza mtaani.
View attachment 2155650
Naomba kuuliza hizo single movies za dj mack zinapatikana? Na zile za Zani za mack nazo zipo? Na bei yake kwa hio 500 gb ni kiasi gani? Natanguliza shukurani.Single Movies Zilizo Tafsiriwa
Kama ni kijana na hauna Storage ya kutosha lakini una Mashine (computer/laptop) Yenye HARD DISK only 500GB,
Una uwezo wa kufungua hii biashara ukajikita kwenye movie zilizotafsiriwa tu, uza movie 1 sh 300.
Utapata wateja wa kutosha na uhakika wakuondoka nyumbani na 10,000 kila siku ukiwa umeshakula na ushaweka vocha utakua nao kwa 81%.
Njoo nikuwekee movie za 500GB zilizotfsiriwa kwa bei nzuri sana nitakushauri na namna ya kupga pesa kwenye single movie hizi hizi.
500GB free space kama unayo usisite kuanza hii biashara,bado nawambia watu usiogope kuanza kwa kidogo ulicho nacho.
500GB nakujazia yote kwa 50k tu, movie za kwenda kuangalia na familia tu hizo nyumbani.Naomba kuuliza hizo single movies za dj mack zinapatikana? Na zile za Zani za mack nazo zipo? Na bei yake kwa hio 500 gb ni kiasi gani? Natanguliza shukurani.
Zipo movie zote pendaeli karibu sana ni wewe tu kusema unataka movie za aina gani.Naomba kuuliza hizo single movies za dj mack zinapatikana?