INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

Case ni 10,000 mpaka 15,000 mtaani.

Pia si lazima Case waweza Tumia waya wa Sata to usb.
Vipi speed ya mafile kufunguka katika desktop, maana huwa naona ukiweka hata external ya kawaida tu mafile huwa yanafunguka taratibu sio sawa na hdd zingine za port za ndani. Mbali na hilo vipi usalama wa HDD kuitumia hivyo kimbadala?
 
Vipi speed ya mafile kufunguka katika desktop, maana huwa naona ukiweka hata external ya kawaida tu mafile huwa yanafunguka taratibu sio sawa na hdd zingine za port za ndani. Mbali na hilo vipi usalama wa HDD kuitumia hivyo kimbadala?
Tafuta Usb 3.0 na chomeka Hdd kwenye usb 3.0 ya Laptop itasaidia. Pia jenga Tabia ya kugawanya vitu kwenye Mafolder, mfano folder la movies, Series then sub folder za Animation, action, adventure, fantasy etc then waweza zigawanya kwa miaka etc. Hii itasaidia kupunguza load ya Kusoma hayo mafile yote kwa pamoja.

Usalama ni kwamba HDD ina mechanical parts haitaki misuko suko na kudondoshwa, ukiigonga gonga itaharibika.
 
Natamani kuanzisha hii bihashara, lakini sina kifaa hata kimoja. Je ni specification gani ni muhimu kwa computer?
 
Asante sana kaka kwa maelezo yako nimeelewa vema sana kaka nitafanya hivyo kaka kama ulivyonielekeza ngoja nipambane pambane tutawasiliana kibiashara zaidi kaka nakushukuru sana bro
Asante brother,ubarikiwe na karibu sana.
 
Daah nimeulizia yale mabango juu ya fremu mzee kama walizoweka cipher dot na bob paak ni ya moto kinooooma
Yale mabango bila kuwa na M mfukoni usiende tafuta fundi au kujitia unataka yaweka juu ya ofisi yako, Ni very expensive maana zinatumika ALCOBOARD mwanzo mwisho na Square Pipes hivyo vitu viwili hapo nilivyokutajia saivi ni vya MOTO MOTO hapo bado fundi halafu ndio ukute unataka dude kubwa aaaaaah utakimbia.
 
Daah nimeulizia yale mabango juu ya fremu mzee kama walizoweka cipher dot na bob paak ni ya moto kinooooma
Ukitaka utengeneze hilo bango fanya njia unazoweza ukutane au uwajue wanao yatengeneza,watu wengi hutengenezewa hayo mabango na "middle man, sasa ukikutana na middle man na bango lenyewe ndio hilo,lazima ughairi.
 
Ushauri kuhusu kutumia hdd ya laptop kwa kuiweka katika case na kuitumia kama external katika Desktop.

Na je case zinauzwa bei gani.
Movies Store Chief-Mkwawa
Nimeona Chief kashakujibu hapo juu,ila narudia kujibu kwa faida ya wengine watakaokuja siku za mbeleni.

Unachotaka kukifanya kinawezekana na external hdd kama ilivyo jina lake ni hdd ya nnje tu ila ndani ukiifungua ni hdd ile ile iliyo ndani ya laptop.

Kama unayo chakufanya ni kununua tu case na kupachika disk yako uendelee na maisha mengine.

Bei za case zimetofautiana kulingana na speed na kampuni, kuna case za 2.0 na case za 3.0

Case za 2.0 hata speed yake n ya kawaida sana na bei pia n kawaida pia Mtaani 2.0 bei ni hiyo aliyokutajia chief mkwawa 10k to 15k (mpya).

kwa case za 3.0 mtaani ni ABOVE 15, kwa wana k.koo kule utaipata kwa 15k fixed mpya.,ila pia hizi bei zimetofautiana kulingana na kampuni na kampuni.

Mfano BINAFSI n mtumiaji wa BRAND za ORICO nina kila kitu cha ORICO bei za case za orico ni pasua kichwa kama wewe n bahili ila kama unatamani ubora ukinunua kitu umenunua huwa ORICO ni chaguo langu namba 1.

Case za orico 3.1 pale k.koo nachukuaga kwa 35k ni case case kweli ukichomeka kwenye port ya 3.0 speed yake n kama upepo.

hivyo ktk ununuzi kuna kuangalia BEI na kuna kuangalia BRAND mimi sio mtu wa bei mimi ni mtu wa BRAND no matter kitakua bei ndogo au kubwa.

ORICO kwa upande wangu are the best kwenye haya ma accesories ya computer.
 
Natamani kuanzisha hii bihashara, lakini sina kifaa hata kimoja. Je ni specification gani ni muhimu kwa computer?
computer kwa mtu anae anza isiwe kipaumbele,huwezi kuwa na computer kaliiii halafu huna bidhaa za kueleweka Elekeza nguvu zako kwenye mzigo computer tumia hata duo core ya 150k kazi itafanyika vizuri tu ujue tu namna ya kutumia computer vizuri.
 
Kwa wenye mahitaji ya HDD kubwa kuanzia 6TB asisite nitafuta au nijulisha.
 
Nanunua COMPUTER

Nanunua Hard Disk aina zote

Nanunua OFISI ya mtu,kama una office ya movie unataka kuiachia nicheki tufanye kazi,nanunua kila ulichonacho ofisini kwa bei nzuri,epuka Hasara.
 
10M Sidhani hata bongo movies kwa career yao kuna mtu alishawahi fika budget hii
 
Naomba kuuliza hizo single movies za dj mack zinapatikana? Na zile za Zani za mack nazo zipo? Na bei yake kwa hio 500 gb ni kiasi gani? Natanguliza shukurani.
 
Naomba kuuliza hizo single movies za dj mack zinapatikana? Na zile za Zani za mack nazo zipo? Na bei yake kwa hio 500 gb ni kiasi gani? Natanguliza shukurani.
500GB nakujazia yote kwa 50k tu, movie za kwenda kuangalia na familia tu hizo nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…