INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

Ngoja aendelee kuamini kuwa unatupanga! Mimi sio mchangiaji mada sana na sidhan nishawahi kucomment kweny huu uzi. Ila nilipoelewa nachotakiwa kufnya nilienda direct inbox na nikapata majbu na hvi ninavoandika tayari nishapata Mzigo wangu.

Siandiki kumshawishi mtu ila baada ya maswal kadhaa na ushaur kutoka kwa boss mwenyw! (Jina kapuni maake sina ruhusa ya kumtaja japo haitachukua muda kumfahamu pindi ukiamua kufnya nae kazi). Nilijrdhisha nikafuata utaratbu alionipa na nashukuru alifanya zaid ya nilivotegemea na vingne alifanya favor.

Simfahamu kwa sura wala ofis yake ilipo ila nilijirdhisha nikafanya nae kazi. Na kwa uaminifu mkubwa akanitumia mzgo wangu nikiwa mkoani. Umbali mrefu kwel na ili upokee mzgo ilichukua siku mbili ila sikuwa na waswasi.

Tuendelee kupambana vijana, nlichojifunza kutoka kwa huyu mwamba licha ya story mbili tatu tunazopiga. Hii biashara inaweza kukutoa sana kama utajua unachokifanya na ukaamua kuwekeza kwel sio ubahatishe au uige wanachofanya mtaan!. Inatakiwa kuwa tofaut na ufanye zaid ili uwape wateja sabbu za kuja kwako.

Na mwsho zaid UVUMILIVU ni mtaj mwingne hasa kwa sisi tunaoanza. Usitangulize kuingiza elfu 50 wkt hujaandaa hayo mazingira.
Asante
Tuliosoma cozi fupi CUBA tumejua intention ya hii ID.
 
mkuu si kila kitu kuwaza negative

mie pia nawasiliana sana na mwamba kabla ya bandiko lake nilikuwa kwenye mipango ya kufungua bandiko limekuja kunihamasisha zaidi

kwa taarifa nimesha fanya biashara na jamaa na hazingui, hata hard disc aliyo itangaza niliichukua mimi

ko kama wataka fanya biashara na jamaa fanya hazingui
 
Nimefungua hii biashara nina miezi miwili lakini hali ni mbaya sana! Sa sijui nimekosea location au hali ni ngumu tu kwa ujumla wake?
Hamna biashara nzuri mwanzoni mkuu,ipe muda biashara yako huku ukijiongeza namna ya kupata kipato ila usiache ifanya.
 
1TB HARD DRIVE ipo inauzwa bei mteremko

mkuu si kila kitu kuwaza negative

mie pia nawasiliana sana na mwamba kabla ya bandiko lake nilikuwa kwenye mipango ya kufungua bandiko limekuja kunihamasisha zaidi

kwa taarifa nimesha fanya biashara na jamaa na hazingui, hata hard disc aliyo itangaza niliichukua mimi

ko kama wataka fanya biashara na jamaa fanya hazingui
Asante Boss, wengi wakiona mtu anaongelea positive hii THREAD hu hisi itakua ni ID yangu nyingine nimekuja kujitetea nayo ili nikamate watu akili.

Acha walio serious wafanye biashara tuwaache hawa wanaotuwazia mabaya na negativity waendelee kuwaza waonavyo maana huwezi mbadilisha mtu mawazo yake.

Acha kila mtu afanye kilicho sahihi na ambacho moyo wake umeridhia. Shukrani zaidi mkuu kwa kutia neno.
 
Nyakati za kuhangaika na ma hard disk zimeshapitwa na wakati mkuu...

Hii 4M inatosha sana kuvuta fiber mahali popote pamoja na kununua 4k tv..

Baada ya hapo ni mwendo wa kustream online tuu kwa mserereko..

Na hivi 5G imeshaingia?😋
 
Mwanza chief...changamoto wateja hamna nimebaki kupigwa doro tu ofisini

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
sikiliza mkuu,kama unauza movie usisubiri mteja atake movie flani kisha umpe ukisubiri hivyo utasubiri mpaka yesu arudi.

Ofisini kwako una movie ya SODOMA na GOMORAH? yawezekana jibu ni NDIO, je mteja atajuaje una hiyo movie?

ofisini kwako una series ya GAME OF THRONES? yawezekana jibu ni NDIO,je mteja atajuaje una hiyo movie?

Achilia mbali mteja kujua unayo lakini JE atajuaje kama ni nzuri au ni mbaya?

CHAKUFANYA :

Unapomuona mteja kaja ofisini kwako ufahamu huyo ni muangaliaji movie kweli wala sio mbahatishaji,chakufanya akikuuliza movie anayotaka muwekee kisha wakati unamuwekea movie aliyotaka

unamuongezea series yoyote ambayo umeikagua ukaona hii hachomoki "unamuwekea bure" bila kumwambia

kama series ina 8 season unamuwekea free season 1,kimya kimya unatafuta na series nyingine kali ndefu unamuwekea free 1 season unafanya hivyo series hata 3 kali kali tupu unamuwekea.

Akienda huko anakutana nazo,akizimaliza kesho utamuona huyu hapa karudi kufata Miendelezo,anaporudi sasa ndio unamnyoosha unamuuzia series kiulaini sana.

hachukui 1 tena atachukua 3 maana ulimuonjesha na zote tamu yaani huyo haendi kwengine kokote, muhimu tu omba wateja waje na flash kubwa ili uwafanyie huo mchezo.

kama ni movie uwe unajifunza kukata movie,unamuekea movie kaliiii then utamu ukikolea unakua umeikata, lazima aje afate movie nzima.

Movie zote kali kali ziangalie kisha zikate,fanya huu mchezo unapoanza biashara yako BIASHARA ikikomaaa achana na huu mchezo chabure hamna ataetaka kitu alipie hadi trailer alipie, ila mwanzo huuu wabebishe sana wateja wako wavute wavute fanya njia zote kila mteja atae ingia ofisni kwako asijutie.

Narudia tena usiache hii biashara,Jana nimetoka showroom kung'oa crown sina mahali napata pesa zaidi ya MOVIE STORE mkuu sijui niseme nini unielewe ila natamani ufahamu unafanya biashara yenye pesa sana.
 
Na hivi 5G imeshaingia?
unafurahia 5G unauwezo wa kuilipia kuipata? Yawezekana unao Je wote wanauwezo kama ulionao?
Hii 4M inatosha sana kuvuta fiber mahali popote pamoja na kununua 4k tv.
unaongelea maswala binafsi,siuzi movie kwa waangalia movie nyumbani mzee hii ni biashara sio movie za kuangalia na Familia mkuu "elewa hii thread"

Hii ni biashara wala hatupo hapa kujifurahisha,wengine tunafanya hii biashara ila hatuangalii movie tunafanya kama biashara TU.

4m ni mtaji wa biashara sio pesa ya kuangalia movie sebleni, na hata huko ku stream sio kila movie uta stream BURE na huo muda wa kustrimika unao mkuu?
Nyakati za kuhangaika na ma hard disk zimeshapitwa na wakati mkuu...
Nyakati za HARD DISK zimepitwa kwa upande wako ambae sio mfanya hii biashara ila sisi wafanya biashara bado HARD DISK ndio maisha yetu na tunazinunua kila siku na hatutegemei kuziacha kwa sasa bado tupo tupo sana.

Mwisho mkuu naomba nisaidie site ya kustream K.drama inaitwa MOMENT AT EIGHTEEN Uki ipata nielekeze namna naweza stream nikiwa na 4K tv unayoisemea.

Kuna kitu utajifunza mahali...
 
unafurahia 5G unauwezo wa kuilipia kuipata? Yawezekana unao Je wote wanauwezo kama ulionao?

unaongelea maswala binafsi,siuzi movie kwa waangalia movie nyumbani mzee hii ni biashara sio movie za kuangalia na Familia mkuu "elewa hii thread"

Hii ni biashara wala hatupo hapa kujifurahisha,wengine tunafanya hii biashara ila hatuangalii movie tunafanya kama biashara TU.

4m ni mtaji wa biashara sio pesa ya kuangalia movie sebleni, na hata huko ku stream sio kila movie uta stream BURE na huo muda wa kustrimika unao mkuu?

Nyakati za HARD DISK zimepitwa kwa upande wako ambae sio mfanya hii biashara ila sisi wafanya biashara bado HARD DISK ndio maisha yetu na tunazinunua kila siku na hatutegemei kuziacha kwa sasa bado tupo tupo sana.

Mwisho mkuu naomba nisaidie site ya kustream K.drama inaitwa MOMENT AT EIGHTEEN Uki ipata nielekeze namna naweza stream nikiwa na 4K tv unayoisemea.

Kuna kitu utajifunza mahali...
IMG_20220909_160527.jpg
 
Mkuu, comment yangu ilijikita kwenye "NYAKATI" tulizopo..... Its just a wakeup call..

Mfano badala ya kujikita zaidi kwenye kuuza softcopies, hebu anza na kutoa huduma ya kustream & kudownload 24/7 hapo ofisini kwako...

Yani jaribu kubuni ka uswazi-movie-theatre, kakae kimtaa mtaa tofauti na akina Mlimani kule.
 
sikiliza mkuu,kama unauza movie usisubiri mteja atake movie flani kisha umpe ukisubiri hivyo utasubiri mpaka yesu arudi.

Ofisini kwako una movie ya SODOMA na GOMORAH? yawezekana jibu ni NDIO, je mteja atajuaje una hiyo movie?

ofisini kwako una series ya GAME OF THRONES? yawezekana jibu ni NDIO,je mteja atajuaje una hiyo movie?

Achilia mbali mteja kujua unayo lakini JE atajuaje kama ni nzuri au ni mbaya?

CHAKUFANYA :

Unapomuona mteja kaja ofisini kwako ufahamu huyo ni muangaliaji movie kweli wala sio mbahatishaji,chakufanya akikuuliza movie anayotaka muwekee kisha wakati unamuwekea movie aliyotaka

unamuongezea series yoyote ambayo umeikagua ukaona hii hachomoki "unamuwekea bure" bila kumwambia

kama series ina 8 season unamuwekea free season 1,kimya kimya unatafuta na series nyingine kali ndefu unamuwekea free 1 season unafanya hivyo series hata 3 kali kali tupu unamuwekea.

Akienda huko anakutana nazo,akizimaliza kesho utamuona huyu hapa karudi kufata Miendelezo,anaporudi sasa ndio unamnyoosha unamuuzia series kiulaini sana.

hachukui 1 tena atachukua 3 maana ulimuonjesha na zote tamu yaani huyo haendi kwengine kokote, muhimu tu omba wateja waje na flash kubwa ili uwafanyie huo mchezo.

kama ni movie uwe unajifunza kukata movie,unamuekea movie kaliiii then utamu ukikolea unakua umeikata, lazima aje afate movie nzima.

Movie zote kali kali ziangalie kisha zikate,fanya huu mchezo unapoanza biashara yako BIASHARA ikikomaaa achana na huu mchezo chabure hamna ataetaka kitu alipie hadi trailer alipie, ila mwanzo huuu wabebishe sana wateja wako wavute wavute fanya njia zote kila mteja atae ingia ofisni kwako asijutie.

Narudia tena usiache hii biashara,Jana nimetoka showroom kung'oa crown sina mahali napata pesa zaidi ya MOVIE STORE mkuu sijui niseme nini unielewe ila natamani ufahamu unafanya biashara yenye pesa sana.
Bro katika watu wanao ni inspire umu wewe namba Moja, nmeshafungua movie store Yangu, kwa Siku inalaza 15000 hadi 30000 ndiyo naanza, hila nataka nikaze buti nifike mbali
 
Mtaani kwenu wanaweka kwa "jeloo" sawa mkuuu mimi kwangu Movie nauza kwa resolution na si tu bora nimekuwekea movie.

Res ya 720/1080 (FHD) Price ni 1000
Res ya 2160 (4k) Price ni 2000
Res ya 4320 (8k) Price ni 3000

Boss hizo ni bei za Single movie.

Bei ya Series una double hapo juu x 2 kwa kila resolution,that Means uki taka La casa De papel Season 5 (8k) price ni 6000 per volume, means kwa Volume zote mbili utaacha ofisini 12,000.

Hiyo ndio bei ya ofisini Boss na wala wateja hawapigi kelele washaelewa na tunaenda nao Sawa.
Nipe Location na Contact kuna kitu nakisense hapa ujue huu ulimwengu wa digital una taarifa fulani kwa sis masonko tunaweza kuzitumia na tukamove! Kikubwa kubali kuwa mentor wangu kwanza, then the rest will be History.
 
Ndio maana mimi nimewawekea target na moja ya masharti yangu ni marufuku kuuza movie JUMLA ni mimi tu ndie ninae ruhusa ya kuuza movie jumla au kutoa go ahead ya biashara hiyo,bila hivyo utatafuta mchawi kumbe mchawi ni wajinga wajinga unaowaita wafanyakazi ukawapa ofisi.
unatumia njia ipi kuzuia wasiuze kwa jumla ?

mfano mimi naona wewe boss una bei ndefu milioni 4, je nikimpa kijana laki 3 na akakubali unaweza kumzuia vipi ?

au hata kijana wa library kapata mtaji wa kununua ama kakodi computer na hard disk nae anataka afungue library hata huko kwao mkoani, utamzuiaje asinyonye mzigo wote ?
 
Back
Top Bottom