SaulGoodman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 418
- 906
Milioni 4? Ndugu unavituko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TTCL kukufungia huduma ni bure na bundle la chini unlimited kwa mwezi ni 55k tu, hapo utapakua movie yoyote utakayo.ila milion 4 palefu san, mfano mtu akaweka bando la laki tano hawezi pakua movie za kutosha kutoka link mbalimbali?
Nipo Mwanza nahitaji kuzungumza na weweNafanya hiviv ili kutoa mwanga kwa wanaotaka kuanza mkuu,hamna kitu mbaya kama kuanza biashara ukiwa hujui namna ya kuifanya.
Naepusha watu na hasara za kuweka "unwanted movies" kwenye store,kuna watu wana movie nyingi lakini ni "unwanted movies" na kuna watu wana movie chache lakini ni "wanted movies"
Mimi naweza vzuri tuWakuu anayefahamu jinsi ya kudownload movie HD kwenye simu yaani iwe 1080p
Mimi naweza vzuri
Lengo langu anayeweza aweke ujuzi hapa ili na sisi tusiojua tunufaikeMimi naweza vzuri tu
Angalia tutorials YouTube simple video ya dakika chache tuLengo langu anayeweza aweke ujuzi hapa ili na sisi tusiojua tunufaike
Ingia NollyVerse | Index of Movies and TV Series chagua movie/series unayotaka ikiishafunguka utaona sehemu pa kudownload kulingana na quality unayotakaWakuu anayefahamu jinsi ya kudownload movie HD kwenye simu yaani iwe 1080p
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo ya simba na zari unayo.
Nipo Mwanza nahitaji kuzungumza na wewe
Safi Sanaa [emoji23]Asalaaaaam Ndugu zanguni, leo nimeamua kuja kuwatangazia vijana wote wanaotaka kufungua Biashara ya Movie Store yani kwa movie za kiswahili na Movie za Kizungu Karibu sana nipo Nauza Mzigo kwa bei ya Jumla kwa wafanyabiashara wanao anza au wanaotaka kuongeza stock za Ofisi zao.
mimi ni mfanyabiashara wa kuingiza movie na nyimbo kwa wateja nina stock yakutosha kabisa kwakijana yeyote ataehitaji mzigo ambayo akienda kukaa ofisini kwake Hatokosa 30,000 kwa siku huyu ni mgeni kabisa.
Hamna movie inayojulikana midomoni mwa watu Sina, japo sina Movie zote duniani au Series zote duniani lakini ni mtu ambae mteja akija na List ya 10 movies Zitapatkana 8 ztakosekana 2, Akija na list ya 5 series Zitapatikana 4 itakosekana 1, nadhani mtakua mmepata picha ya movie nilizokua nazo.
Bei elekezi ni kama zifuatazo
Kwa Mtu anaetaka kuja kuchukua Mzigo wangu wote yani tunacopy and Paste Kila kitu changu
Bei ni 4M yani milioni 4
Mahitaji yako : Unatakiwa uje na Hard Disk 60TB (Sixty Telabytes) hapo utaweza kubeba kila nilichokua nacho hutoniacha hata na trailer 1 yani utakua umebakisha kunichukua Mimi TU.
kwahiyo huko ulipo tafuta HARD DISK zako kisha njoo Nione,hiyo bei ni ya SOFT MOVIES haijumuishi gharama za Hard Disk, HDD tafuta unapojua wewe za bei utayoafikiana huko na wauzaji.
Huyo ni muuzaji Mkubwa wa Movie,Kwa wale wauzaji wanao anza anza (kama nilivyoanzaga mimi)
Kujaza 4TB Naijaza kwa 300,000 kwahiyo kila 4tb kujaza ni 300,000 hapo kazi itakua ni kwako kwenda kufanya kazi,Movie ni nyingi sana,kila movie ya kingereza ipo na kiswahili yake.
kadhalika na kwa series kila series ya kizungu ipo na ya kiswahili yake, Korean Drama,Animation na kila takataka inayohusiana na BURUDANI basi utaipata kwangu.
Karibuni vijana wenzangu mjikwamue, sio lazima wote twende shamba kulima kwa wale wenye mitaji na wana uelewa wa computer Biashara hii ni nzuri na isiyo na chembe ya mashaka.
Makadirio ya Faida kwa Mtu kama mimi sio chini ya 100k per day na kwa week ends sio chini ya 200k,Kwa mtu anaeanza kwa kujikongoja kongoja kwa siku hatokosa 10k kutegemeana na stock atayokua nayo.
Lakini kwa mtu anaejua location nzuri na ambae anauwezo wa kulenga eneo zuri Hata ukiwa na 4TB kupata 30k ni jambo la kawaida uzuri wateja wa movie sio wachaguaji, Mtu akitaka movie lets say OLD GUARD na stock yako hauna hiyo movie, Una uwezo wa kumwambia na kumuonyesha list ya movie zenye story kama ya OLD GUARD ukamsimulia na akaichukua, kwahiyo mteja wa movie akiingia ofisini kwako kuacha hela labda wewe mwenyewe ushindwe kumshawishi.
Natumaini vijana mnaopenda maendeleo na pesa basi nipo hapa kwa ajili yenu,Lakini pia yawezekana wewe unafanya hii kazi ila huna movie nyingi unataka kuongeza, Karibu sana nipo wazi ofisini anzia saa 5 asubuhi mpk 6 usiku.
Kwa wale wa movie za kina DJ MURPHY,DJ MACK (mzee wa Achecheeeeee) zote zipo miendelezo ya kila Jumatatu huwa nauza File lenye miendelezo yote ya wiki nzima kwa sh. 10,000 Njooo na 10k yako nikupe file lenye miendelezo yote ya wiki husika.
Movie zangu ni HD sinunui movie za kwenye Ma cd kisha nika copy kwenye mashine yangu,Movie zangu za dj murphy nazifata direct ofisini kwa Murphy ananiwekea kwenye external yangu, Movie za achecheee nazifata kwa Mack ananiwekea soft copy.
Sipendi nunua movie za kwenye Ma cd kwasababu mostly zinakua zimeconvertiwa zimepoteza ubora wa Picha, Season zote hadi za kihindi za kina VASCO DJ, MSATI, KONDE BOY, na wengine wote picha zao nilizonazo ni zile HD tunaita 720p to 1080p
Kwa series za kizungu na movie za kizungu Resolution ya movie zangu 80% ni 1080p kwa wateja wenye Flat 65inch 4k movie zao pia ninazo kwahyo ni uchaguzi tu,Mteja wa reja reja ukitaka movie resolution yyte kulingana na TV yako unapata.
Watu wengi nawasikia wakilalamika kuwa movie za kutafsiriwa zina quality mbovu, hii si kwa movie zangu Week end hii hapa inakuja Delivery Pia nafanya.
BEI YA REJA REJA
Single movie 1000 (iwe ya kiswahili,iwe ya kizungu)
Series English 2000
Series swahili (1000 vipande 25) complete isiyozidi episode 60 sh 2000
Korean Drama 2000 (drama isiyozidi episode 20)
Korean Drama zinazozidi episode 20 hata ikiwa episode 23 bei ni 3000,
Korean Drama zinazozidi episode 50 bei ni 5000 (mostly hizi ni zile historical)
Korean Drama za kutafsiriwa Bei ni 2000 (isipozidi episode 60)
Korean Drama za kutafsiriwa zilizozidi episode 60 (bei ni 30 episode 1k)
Karibuni sana Ofisi ipo Kwa Msuguli, kama ukitokea ubungo unashuka kituo KWA MSUGULI kama ukitokea stand ya Magufuli unashuka kituo Kwa msuguli.
Kwa biashara zaidi na mahitaji na maulizo binafsi karibuni PM.
Delivery wateja wa DAR naleta movie hadi mlangoni ila tu movie uchukue sio ya chini ya 30,000, hata kama hauna external/Flash utanitumia list mimi nitaweka list yako kwenye external yangu kisha nitakuja ku copy kwako.
Asanteni sana Movie ni Biashara Movie ni Burudani Changamkieni Fursa wapenda Burudani lakini wapenda Biashara Nipo kwa ajili yenu Pia.
Zilizotafsiliwa na zisizotafsiliwa?Nina terabytes 10 ya movies na series mtu anicheki mwenye uhitaji wa movie
Hazijatafsiriwa original kabisaZilizotafsiliwa na zisizotafsiliwa?
Mtaani kwenu wanaweka kwa "jeloo" sawa mkuuu mimi kwangu Movie nauza kwa resolution na si tu bora nimekuwekea movie.
Res ya 720/1080 (FHD) Price ni 1000
Res ya 2160 (4k) Price ni 2000
Res ya 4320 (8k) Price ni 3000
Boss hizo ni bei za Single movie.
Bei ya Series una double hapo juu x 2 kwa kila resolution,that Means uki taka La casa De papel Season 5 (8k) price ni 6000 per volume, means kwa Volume zote mbili utaacha ofisini 12,000.
Hiyo ndio bei ya ofisini Boss na wala wateja hawapigi kelele washaelewa na tunaenda nao Sawa.
Unaijua hii biashara halafu upo cheap Sana
Mimi na movie library ya kawaida jana nikaenda store moja nikawauliza kujaza 300Gb shngp wakanijibu 70k.nikatathimini nikaona 3T wataniambia 700k
Na 30Tb itakuwa 7M na 60Tb itakuwa 14M .Ngoja nijipange nifikishe 2M ninunue hard disk niconvet library yangu kuwa mini Store
Ndugu unajua kipato cha ofisi za Movie kweli wewe? Milioni 4 kwa mwaka hafikishi? Usilolijua ni sawa na usiku wa Giza.Million nne sio mav kwamba kila mtu anayo we mwenyewe kipato chako million nne kwa mwaka hufikishi..Nilikuwa interested na jambo lako labda Kama ungesema laki nne ningeoa furesh
Wantakyusa tunaonewa sana😀😀Umemiss nchi moja tu ambayo wanakuja juu upande wa move na ameteka soko la tz ni uturuki series zao nikali sanaa. Ova
View attachment 2155449