INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

Tunatafuta watu ambao watakuwa mawakala wa bidhaa yetu ya barakoa

Tuna kiwanda cha kuzalisha barakoa za upasuaji" surgical masks/ medical masks"

Au kama unataka kununua barakoa kwa bei ya kiwandani wasiliana nasi

Hivyo kama unataka kuwekeza katika biashara hii na kuwa wakala wetu wasiliana nasi 0672883050
 
ila milion 4 palefu san, mfano mtu akaweka bando la laki tano hawezi pakua movie za kutosha kutoka link mbalimbali?
TTCL kukufungia huduma ni bure na bundle la chini unlimited kwa mwezi ni 55k tu, hapo utapakua movie yoyote utakayo.
 
Nipo Mwanza nahitaji kuzungumza na wewe
 
Wakuu anayefahamu jinsi ya kudownload movie HD kwenye simu yaani iwe 1080p
 
Safi Sanaa [emoji23]
 
Nina computer imekaa tu home hai a kazi siwezi kosa laki ya kuuanziaa kuweka movie Safi Sana
 
Nina terabytes 10 ya movies na series mtu anicheki mwenye uhitaji wa movie
 

Ila unachekesha sana kijana.

Hivi unaona watu ni wajinga sana kwamba hawana knowledge Juu ya hii biashara.

Hii ni Jf siyo Facebook, Watu tunakuangalia tu
 

Chukua million 5 twende bostwana hapo nkuonyeshe chimbo
 
Million nne sio mav kwamba kila mtu anayo we mwenyewe kipato chako million nne kwa mwaka hufikishi..Nilikuwa interested na jambo lako labda Kama ungesema laki nne ningeoa furesh
Ndugu unajua kipato cha ofisi za Movie kweli wewe? Milioni 4 kwa mwaka hafikishi? Usilolijua ni sawa na usiku wa Giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…