INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

Kiongozi naomba ingia dm kuna suala nahitaji msaada wako.
 
*
Kiongozi naomba ingia pm yako kuna maelekezo naomba unisaidie
 
muvi anauza buku wakati ni 250
Sio lazima bei zifanane unaweza ukanunua nguo kkoo 20,000/= ila ukaenda sinza nguo hiyohiyo ukaambiwa bei yake 100,000/= bei ya kitu inaendana na location uliopo huwezi kwenda kufungua Library buza ama mbagala huko ukauza muvie kwa 1000/= ukategemea upate wateja.
 
Mwenye mawasiliano na huyu mwamba anissaidie ili nifanye nae biaashara
 
Kama kuna anayehitaji kufungua movie store anataka movies na series tuwasiliane mimi nina terabytes 10 zipo old na latest
 
Wenzako walishapita hapo unaposema mkuu.

-Savasci ina vipande 106, inauzwa kwa elfu 2000.
-Vodacom walikuhalibia. Internet yao inaruhusu kudownload kila aina ya movie.
Labda ungesema bei ya kuelekeza watu namna ya kudownload,vinginevyo, hiyo 4M, unaigiza tu.
Mtaani kuna madogo ukitaka mzigo wote alionao, hata laki 2 atakupa. Wemgine hata chini ya hapo.
 
Mtaani complete season moja HD inauzwa 2k haijalishi ina episodes ngapi hiyo ina season ngapi mpaka mpaka season moja iwe na episode 106?
 
Asalam aleykum kiongozi..nataka kujifunza biashara ya kuweka movies nimeona unafundisha namna ya kufanya hii biashara..sasa sijajua utaratibu ukoje kiongozi..
 
Ni series gani au Movie gani unaipenda sana kwa sasa? Hebu niambieni watazamaji Movie nahitaji kujua vitu mnavyopenda ili kama sina nivitafute.
aas
Asalam aleykum kaka..samahan ofisi yako iko kwa msuguri upande upi nataka nije kujifunza kazi ya movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…