Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi

12. Anayeleta mzaha kwenye mambo ya msingi km ndoa humu jukwaaani kwa kuitaja Yanga au simba.
 
Kwa ufupi usioe mwanamke mwenye maadili mabovu ambae kwa sasa huyo mwanamke hayupo

Uoe lakini ujue umeoa mamba au usioe kabisa

Utazika au utasafirisha?
 
12. Mwana ccm
 
Yafutwe haraka ili tukazane na kilimo.
Kwa maisha yetu ya kiafrika tulitakuwa tusideal na mapenzi kabisa, ilitakiwa tufanye kwa kuzaana tu na sio haya mapenzi ya kuchikuchi hotae, ili tuwe makini kuujenga uchumi🤔🤔
 
Kwa maisha yetu ya kiafrika tulitakuwa tusideal na mapenzi kabisa, ilitakiwa tufanye kwa kuzaana tu na sio haya mapenzi ya kuchikuchi hotae, ili tuwe makini kuujenga uchumi🤔🤔
Kabisa.
 
shabiki wa yanga umechomeka tu ila ni malaya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…