Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi

Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi

Point muhimu: usimpore mwanaume mwenzio mpenzi wake kwasababu yoyote ile.
 
Ni kweli lakini msiwatenge wenye watoto kama alizaa katika age hiyo, gafla mwanaume akafiriki? Kua na mtoto haimaanishi ni doa huwezi jua, pengine Huyo mtoto anaweza kuja kua msaada katika hiyo familia

Hayo mengine nakubaliana na wewe.. kama mimi na patner wangu amenipita miaka8
Hata mimi mke wangu nimempita miaka nane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala la kuoa mwanamke niliyemzidi miaka 5-10 sikuwahi kulielewa kabisa, yani unakuwa na mwanamke anakuona kama kaka yake au anakuheshimu sana anashindwa kuwa na uhuru na wewe kwasababu sio wa rika moja.

Mimi ni wife tofauti ni mwaka mmoja tu na kila kitu kipo sawa, yanu atleast umzidi miaka 3 sio 5-10
Unataka kusema Nini, meno pause Kwa mwanamke inaanza mapema sana, angalia usije anza kutamani chuchu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kusema Nini, meno pause Kwa mwanamke inaanza mapema sana, angalia usije anza kutamani chuchu

Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ya Menopause inawashika waoga wa maisha tu, mtu unataka uanze kutafuta mtoto ukiwa na miaka 35-40 kwanini menopause isikupe changamoto?

Mimi nikiwa na 25 mke wangu akiwa na 24 tukapaa mtoto wa kwanza, na mpaka alipofikia 36 tulikuwa na watoto 4.
 
Ukioa mwanamke wa aina hii ataendelea kumriwadha huyo jamaa yake siku zote if the man would be interested. L
Yaani km ulikuwepo!! wanakulana mnooooo!! swafiii!!...tena ukifanya masihara watazaa na uta lea!! ile kitu mitaa ya kati bana achana nayo!!
 
Aisee! Ni hatari saana kiukweli!

Yaani kuoa mwanamke aliye na mtoto kwa Tz, imeshakuwa kama dhambi! Sasa sijui tunaenda wapi jamii yetu!? Na unadhani wataolewa na nani! Pia nao wanahitaji faraja na upendo pia.
Nao wakishaolewa hawaachi kupasha viporo! Tatizo huanzia hapo!

Dah! Tumuachie Mungu tu aamue.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mkuu ingependeza zaidi ukasema changamoto anazozipa mwanaume kwa kuoa mwanamke mwenye mtoto hii imenikuta kabisa kuna mwanamke nilikutana nae chuo mwaka wa mwisho akawa ananizungusha baada ya hapo kakubali sound yangu ila baada ya kuendelea kuchunguza nimekuta tayari anamtoto na hajawihi kuniambia
Naomba useme changamoto za kuoa mwanamke mwenye mtoto nimpige chini mapema sana kwanza tangia nijue anamtoto naona nilipotwza muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] huu Uzi nadhani nitacheka sana leo
 
Back
Top Bottom