Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi

Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi

Mkuu inaonekana akili yako huna imani nayo yaani mwanamke nishindwe kumuongoza kisa kanizidi miaka 5 big No maybe awe kunguru asiyefugika, ila kwa single mother hapana kwa kweli ni complicated issue kubalance malezi
una uzoefu na single mothers?
 
Hili la umri nadhani lina ukweli fulani. Mshua wangu yuko 70+ ila ana kichenchede kina kama 34 amezaa nacho watoto wawili, naona anahangaika sana, kila muda anakula karanga na mihogo mibichi. Kwenye dashboard ya gari yake amejaza makopo ya mitishamba ya kuongeza nguvu. Huwa nacheka na kuwaza hawa wazee wanajitafutia vifo tu.
mzee wako ametisha
 
Inategemeana huyo mtoto mmemuweka ktk mazingr gani, mfano mnaweza mkakubaliana kwamba huyu n mtoto wetu atanijua mm kama Baba na wewe kama mama mkamlea na kumsomesha bila kuingilia mtu, huyo Baba wa kambo atawasiliana kwa lipi?? Au mkakubaliana kwamba mtoto amchukue Baba yake mawasiliano ya nn tena lkn pia mnaweza mkamuweka kwa bibi na mawasiliano yoyote juu ya mtoto yakafanyika kwa ma bibi tu.
Mzee hii dunia inaenda tu na misimamo dhabiti.!

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa complications nyingi za nini.Lazima tu siku moja utakuja kuzinguana na huyo aliyezaa nae
 
Na nyie wanaume nawaambia tho sina experience ila usioe mwanamke ambae anakuzidi elimu na kipato cha fedha.
Kama Mke ana elimu, basi wewe kuwa na pesa heshima itakuwepo.note: hapa vice versa is not true[emoji3][emoji3][emoji3]

Hapa sitegemei wanawake wenzangu kupingana na Mimi[emoji23]
sasa wanawake wenye hela nyingi wataolewa na nani?
 
Mwisho niseme tu, sisi binadamu tumezoea kubishabisha na kuleta ujuaji, nisiseme mengi binafsi napita katika wakati mgumu sana nahisi vidonda vya tumbo vitaniua maana nikiwaza sana navyo vinaripuka.


Siwezi kusema mengi asiyesikia aoe hao single mother



Sent using Jamii Forums mobile app
mzee vipi vidonda vimeshalipuka?
 
Ni ushauri mzuri ila kuoa mwanamke mwenye mtoto kunachangamoto zake,kama uchumi mzuri hakuna shida.Kwa mfano unaoa mama mwenye mtoto miaka saba mwanzoni huku hakuna shida ila mwishoni unapokuwa mzee ndiyo changamoto na huyo mke kama hana hekimu utapata shida sana,labda huyo mtoto awe wa kike ataendelea na maisha yake.
 
Ni ushauri mzuri ila kuoa mwanamke mwenye mtoto kunachangamoto zake,kama uchumi mzuri hakuna shida.Kwa mfano unaoa mama mwenye mtoto miaka saba mwanzoni huku hakuna shida ila mwishoni unapokuwa mzee ndiyo changamoto na huyo mke kama hana hekimu utapata shida sana,labda huyo mtoto awe wa kike ataendelea na maisha yake.
 
Ma single mama, sasa waolewe nani ? Acheni ubaguzi nao wana haki ya kuolewa. Mistake zipo
 
Back
Top Bottom