Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi

Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi

Nakubaliana na uliyosema kwa asilimia kubwa ila pia hawa wapenzi waliokua na mahusiano na wake zetu kabla ya kuwaoa huwa pia ni tatizo kwani kama watahitaji kupasha kiporo moto mara nyingi hawa wake zetu hawakatai tena ukute walipotezana tu hawakugombana hapo ndio balaa kabisa na mkitaka kuhakikisha mjaribu x ambaye mliachana kistaarabu ndio mtajua kiporo hakihitaji moto mwingi.
 
Hili la umri nadhani lina ukweli fulani. Mshua wangu yuko 70+ ila ana kichenchede kina kama 34 amezaa nacho watoto wawili, naona anahangaika sana, kila muda anakula karanga na mihogo mibichi. Kwenye dashboard ya gari yake amejaza makopo ya mitishamba ya kuongeza nguvu. Huwa nacheka na kuwaza hawa wazee wanajitafutia vifo tu.
 
Mkuu umeongea kweli tupu, hasa kwenye point ya kwanza kuhusu umri wa mke, kwa kuongezea hapo ni kwamba mwanamke akishakuzidi umri basi na uwezo wake wa kufikiria utakuwa mara mbili ya kwako wewe mwanaume, ni kweli kuwa wanawake wamebarikiwa kuwa na ubongo unaoconnect mambo mengi kwa wakati mmoja, so mwanamke akikuzidi umri au akiwa sawa na wewe kiumri jua kuwa kiakili yuko mbali sana na atakusumbua sanaa maana wao majukumu ya maisha huwa wanayaanza mara tu baada ya kuzaliwa, ndo maana utakuta watoto wa kiume wanacheza mpira ila watoto wa kike wanajipikilisha na kulea watoto wa plastic(midoli) ndo nature hiyo....

Lakini mkuu kwenye suala na mwanamke mwenye mtoto hapo naona wanaume tulegeze kidogo kuzingatia na mazingira ya huyo mtoto alivyopatikana....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inaonekana akili yako huna imani nayo yaani mwanamke nishindwe kumuongoza kisa kanizidi miaka 5 big No maybe awe kunguru asiyefugika, ila kwa single mother hapana kwa kweli ni complicated issue kubalance malezi
 
Hili la umri nadhani lina ukweli fulani. Mshua wangu yuko 70+ ila ana kichenchede kina kama 34 amezaa nacho watoto wawili, naona anahangaika sana, kila muda anakula karanga na mihogo mibichi. Kwenye dashboard ya gari yake amejaza makopo ya mitishamba ya kuongeza nguvu. Huwa nacheka na kuwaza hawa wazee wanajitafutia vifo tu.
Nipe no ya mshua nimpe vumbi la mozambique
 
Back
Top Bottom