Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,334
- 5,829
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo maza mchoyo kichiziU are just 46 and your wife is at 40... U are not done yet! All the best hata hivyo! Wanawake sio kuwawekea guarantee, kuna mmoja huku ameona anakaribia kustaafu kampiga chini mume wake...
Haya mambo hayana formula... Hata huyu jamaa anaetoa ushauri ni baada ya kuona mambo yake yanamuendea vizuri
so maisha ya ubachelor ni mazuri zaidi? kuna changamoto gani huko?
kwa nini?Usijariribu,narudia tena usijaribu, kana kweli unataka kuitwa baba wa familiya, take my words
aisee[emoji2][emoji2][emoji2], inaonekana ni majanga kweli kweliWrite your reply...BORA NIOE NG'OMBE AU MBUZI AU KUKU
AU BORA NISIOE KABISA KULIKO KUOA SINGLE MAMA VIJANA MSISUBUTU KABISA HATA WAZAZI WAKO WATAKUONA WA AJABU KUOA FAMILIA YA MWENZAKO
Ngoja tuoneUsijariribu,narudia tena usijaribu, kana kweli unataka kuitwa baba wa familiya, take my words
Ngoja tuoneNi afadhali iwe kinyume chake, akuzidi elimu umzidi kipato.... hivyo unavyotaka utaishia kudharauliwa na kuona elimu si lolote.
Wanasema mwanaume akimuoa mwanamke aliyemzidi kiuchumi ni changamoto kubwaaàaa. Unasemaje juu ya hiloMahusiano na ndoa havina formula.
Kuna watu wanaona wanavigezo vyote ulivyosema na wanaachana na kuna Watu hawana hivyo vigezo wamedumu.
Mambo yamahusiano waachiwe wanaohusiana
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewahi lwalwa na mzee wa age hiyo ?Kwenye umri hapo nakataa kwa sababu hata mpishane miaka 30 kinacho matter zaidi ni matunzo ya mwili wako. Kuna vibabu vya miaka 50 hadi 60 vinapiga vitu balaa kuliko hawa vijana chipsi tulio nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya ubachelor ni ya aman sana, tatizo la huku ni kuishi na mkubwa mwenzio ambaye mmelelewa mazingira tofauti na mnatabia tofauti.so maisha ya ubachelor ni mazuri zaidi? kuna changamoto gani huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifariji tu kwa sababu ulioa mwenye mtoto,amini unayoambiwa humu kwa % kubwa.Vumilia tu huna namna!!
Mkuu inaonekana akili yako huna imani nayo yaani mwanamke nishindwe kumuongoza kisa kanizidi miaka 5 big No maybe awe kunguru asiyefugika, ila kwa single mother hapana kwa kweli ni complicated issue kubalance maleziMkuu umeongea kweli tupu, hasa kwenye point ya kwanza kuhusu umri wa mke, kwa kuongezea hapo ni kwamba mwanamke akishakuzidi umri basi na uwezo wake wa kufikiria utakuwa mara mbili ya kwako wewe mwanaume, ni kweli kuwa wanawake wamebarikiwa kuwa na ubongo unaoconnect mambo mengi kwa wakati mmoja, so mwanamke akikuzidi umri au akiwa sawa na wewe kiumri jua kuwa kiakili yuko mbali sana na atakusumbua sanaa maana wao majukumu ya maisha huwa wanayaanza mara tu baada ya kuzaliwa, ndo maana utakuta watoto wa kiume wanacheza mpira ila watoto wa kike wanajipikilisha na kulea watoto wa plastic(midoli) ndo nature hiyo....
Lakini mkuu kwenye suala na mwanamke mwenye mtoto hapo naona wanaume tulegeze kidogo kuzingatia na mazingira ya huyo mtoto alivyopatikana....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe no ya mshua nimpe vumbi la mozambiqueHili la umri nadhani lina ukweli fulani. Mshua wangu yuko 70+ ila ana kichenchede kina kama 34 amezaa nacho watoto wawili, naona anahangaika sana, kila muda anakula karanga na mihogo mibichi. Kwenye dashboard ya gari yake amejaza makopo ya mitishamba ya kuongeza nguvu. Huwa nacheka na kuwaza hawa wazee wanajitafutia vifo tu.