Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi

Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi

I have not snatched your point

Kasome kipande chako nilichoquote, na usipoelewa mimi nitaelewa.... you’re not ‘reach’ [rich] yet..? [emoji1484][emoji1484]

“Ushauri wangu unajikita kwa kijana anaetaka kuolewa hivyo mwengine anaetaka kushauri anaweza kujikita kwa msichana anaetaka kuolewa”.
 
Reach- Rich vitu vingine unatakiwa kujiongeza tu.
Ndio, mimi nimeshauri kwa kijana anaetaka kuoa nimeongea feeling zangu kama mwana mme.Kama wewe unataka kutoa tips kwa binti anaetaka kuolewa you can go ahead what is the problem??
 
The problem was “kijana anayetaka kuolewa” ndivyo uliandika, ila kumbe feeling zako zililenga anayetaka kuoa.... basi kaedit kule juu au acha na hapa tujiongeze tu.
 
Mkuu umeongea kweli tupu, hasa kwenye point ya kwanza kuhusu umri wa mke, kwa kuongezea hapo ni kwamba mwanamke akishakuzidi umri basi na uwezo wake wa kufikiria utakuwa mara mbili ya kwako wewe mwanaume, ni kweli kuwa wanawake wamebarikiwa kuwa na ubongo unaoconnect mambo mengi kwa wakati mmoja, so mwanamke akikuzidi umri au akiwa sawa na wewe kiumri jua kuwa kiakili yuko mbali sana na atakusumbua sanaa maana wao majukumu ya maisha huwa wanayaanza mara tu baada ya kuzaliwa, ndo maana utakuta watoto wa kiume wanacheza mpira ila watoto wa kike wanajipikilisha na kulea watoto wa plastic(midoli) ndo nature hiyo....

Lakini mkuu kwenye suala na mwanamke mwenye mtoto hapo naona wanaume tulegeze kidogo kuzingatia na mazingira ya huyo mtoto alivyopatikana....

Sent using Jamii Forums mobile app
mwanamke akikuzidi umri ndo anakuwa anafikiri zaidi kuliko wewe?? hii si kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemeana huyo mtoto mmemuweka ktk mazingr gani, mfano mnaweza mkakubaliana kwamba huyu n mtoto wetu atanijua mm kama Baba na wewe kama mama mkamlea na kumsomesha bila kuingilia mtu, huyo Baba wa kambo atawasiliana kwa lipi?? Au mkakubaliana kwamba mtoto amchukue Baba yake mawasiliano ya nn tena lkn pia mnaweza mkamuweka kwa bibi na mawasiliano yoyote juu ya mtoto yakafanyika kwa ma bibi tu.
Mzee hii dunia inaenda tu na misimamo dhabiti.!
hata single mother anaweza akawa ametoa mimba pia.mzee lazima awasiliane na mzazi mwenzake hata iweje kwasababu wameshazaa tena kabla yako wewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyie wanaume nawaambia tho sina experience ila usioe mwanamke ambae anakuzidi elimu na kipato cha fedha.
Kama Mke ana elimu, basi wewe kuwa na pesa heshima itakuwepo.note: hapa vice versa is not true[emoji3][emoji3][emoji3]

Hapa sitegemei wanawake wenzangu kupingana na Mimi[emoji23]
Mimi nataka kuoa niliyemzidi elimu lakini amenizidi kipato cha fedha. Unasemaje juu ya hilo ?
 
Back
Top Bottom