Siku zote tunawanyanyasa Sana ma single mother kitu ambacho sio sawa.!
Ipo siku utajikuta mwanao wa kike anazaa akiwa nyumban sijui utajisikiaje kwamba ndo asiolewe kabisa??
Naamin sio wote wakiolewa wanarudia matapishi lkn pia inategemea wewe mwanamume umempa misimamo gani huyo mwanamke. Mfano jamaa angu alimwambia sitaki kuona una mawasiliano yoyote Wala kkuona kwa mzazi mwenzako siku nitakayo baini una mawasiliano yoyote Yale utapata kadi nyekundu.
Mpaka Leo huu mwaka wa 8 wanaish vizr kabisa tena mwanamke ana adabu kuona kuolewa kwake n second and last chance!
Mi nawakuli sn tu, unaweza ukaona aliyezaa ametembea na wanaume wachache kuliko huyo unaefikr hajazaa kumbe katembea na sample zote isitoshe na kosa la mauaji anayo!! TUSIHUKUMU BADO TUPO DUNIANI!
Sent using
Jamii Forums mobile app