olym
JF-Expert Member
- Jul 25, 2019
- 265
- 450
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo si ni bibi yako mkuu?Nina 48 mke 61 tumedumu miaka 25 Kila wakati ni bebi kwangu.
Siku zote tunawanyanyasa Sana ma single mother kitu ambacho sio sawa.!
Ipo siku utajikuta mwanao wa kike anazaa akiwa nyumban sijui utajisikiaje kwamba ndo asiolewe kabisa??
Naamin sio wote wakiolewa wanarudia matapishi lkn pia inategemea wewe mwanamume umempa misimamo gani huyo mwanamke. Mfano jamaa angu alimwambia sitaki kuona una mawasiliano yoyote Wala kkuona kwa mzazi mwenzako siku nitakayo baini una mawasiliano yoyote Yale utapata kadi nyekundu.
Mpaka Leo huu mwaka wa 8 wanaish vizr kabisa tena mwanamke ana adabu kuona kuolewa kwake n second and last chance!
Mi nawakuli sn tu, unaweza ukaona aliyezaa ametembea na wanaume wachache kuliko huyo unaefikr hajazaa kumbe katembea na sample zote isitoshe na kosa la mauaji anayo!! TUSIHUKUMU BADO TUPO DUNIANI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa amekariri sana. Katika maisha ambayo hayana formula moja kwa watu wote.Ni kweli lakini msiwatenge wenye watoto kama alizaa katika age hiyo, gafla mwanaume akafiriki? Kua na mtoto haimaanishi ni doa huwezi jua, pengine Huyo mtoto anaweza kuja kua msaada katika hiyo familia
Hayo mengine nakubaliana na wewe.. kama mimi na patner wangu amenipita miaka8
Iyo ni toka enzi sema mabinti wa sasa wamejiachia sana kwa kuzaa kabla ya ndoa, kwa Mila za kwetu binti ukizaa kabla ya ndoa anakuwa mzigo wa familia hakuna kijana yeyote atamgusa kusema anaoa na hata ukimwoa unaonekana umeoa mama sio binti na kuna salamu maalum kwa wanaume walio katika ndoa uwezi kuitoa wala kuipokea, iyo Mila ilisaidia sana wazazi kutunza mabinti zao na mabinti kujitunza piaAisee! Ni hatari saana kiukweli!
Yaani kuoa mwanamke aliye na mtoto kwa Tz, imeshakuwa kama dhambi! Sasa sijui tunaenda wapi jamii yetu!? Na unadhani wataolewa na nani! Pia nao wanahitaji faraja na upendo pia.
Nao wakishaolewa hawaachi kupasha viporo! Tatizo huanzia hapo!
Dah! Tumuachie Mungu tu aamue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke mwenye mtoto,anaweza asiwe na mapenzi ya dhati ila anaolewa na wewe kwasababu anataka umsaidie kumtunzia mtoto.Na kumbuka huyu mtoto unatakiwa kumhudumia kuliko hata wakwako wa kumzaa vinginevyo atakuona unambagua mwanae.Kwanini ujibebeshe mzigo wakati uwezo wa kuzaa wako unao?Mkuu ingependeza zaidi ukasema changamoto anazozipa mwanaume kwa kuoa mwanamke mwenye mtoto hii imenikuta kabisa kuna mwanamke nilikutana nae chuo mwaka wa mwisho akawa ananizungusha baada ya hapo kakubali sound yangu ila baada ya kuendelea kuchunguza nimekuta tayari anamtoto na hajawihi kuniambia
Naomba useme changamoto za kuoa mwanamke mwenye mtoto nimpige chini mapema sana kwanza tangia nijue anamtoto naona nilipotwza muda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi sijawahi kuoa single maza sema nimeshawai kudate tu, Mimi pia ushauri wangu ni kama mtoa mada, kama we ni kijana mdogo ambaye hauna watoto na wanawake wengine ni bora kuingia kwenye ndoa na mwanamke ambaye hana watoto.Mkuu ingependeza zaidi ukasema changamoto anazozipa mwanaume kwa kuoa mwanamke mwenye mtoto hii imenikuta kabisa kuna mwanamke nilikutana nae chuo mwaka wa mwisho akawa ananizungusha baada ya hapo kakubali sound yangu ila baada ya kuendelea kuchunguza nimekuta tayari anamtoto na hajawihi kuniambia
Naomba useme changamoto za kuoa mwanamke mwenye mtoto nimpige chini mapema sana kwanza tangia nijue anamtoto naona nilipotwza muda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe kweliSawa kabisa , mf. Mwenye mtoto penda usipende kuna siku atakuwa na mazungumzo ya faragha na mzazi mwenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sihitaji hata senti yake mojaKikubwa isije tu ikawa unataka kumuoa sababu ya nguvu yake ya kiuchumi hapo ndo utakuwa umekosea
Binafsi sijawahi kuoa single maza sema nimeshawai kudate tu, Mimi pia ushauri wangu ni kama mtoa mada, kama we ni kijana mdogo ambaye hauna watoto na wanawake wengine ni bora kuingia kwenye ndoa na mwanamke ambaye hana watoto.
Changamoto ya kwanza ninayoiona ni ya kiuchumi, we all have limited resources, can you imagine using your resources to further someone else genes. OK let us assume unajiweza pesa sio tatizo, vipi kwenye urithi wako na yeye utampa sawa na wanao? Kuna mtu alilea binti Wa singo maza kama mwanae Wa kumzaa, uyu binti wakati anaolewa akataka her biological father( ambaye was missing while she was growing up) to walk her down the aisle, what an insult.
Hawa watoto na mama zao Mara nyingi akili zao zinakuwa moja, ukitaka kumdiscipline hachelewi kukuona unamuonea kisa wewe sio baba yake and you will be shocked her mom to be on her side, na ombea Mungu uyo mtoto Wa singo maza asiwe Wa like na kutaka kukupa kesi ya ubakaji, sijui mama yake atakuamini wewe mumewe au mwanae?
Ukiangalia ata wanyama kama simba au pundamilia wakikutana na singo maza mwenye watoto wadogo, cha kwanza wanachofanya ni kuua wale watoto to eliminate traces of the predecessor. Sijui na sisi binadamu( wanaume) tunafall kwenye animal kingdom?
Dah! Brother, umeongea ukweli mtupu ila unaouma haswaa!Binafsi sijawahi kuoa single maza sema nimeshawai kudate tu, Mimi pia ushauri wangu ni kama mtoa mada, kama we ni kijana mdogo ambaye hauna watoto na wanawake wengine ni bora kuingia kwenye ndoa na mwanamke ambaye hana watoto.