TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
Je, mleta mada umepima? https://www.jamiiforums.com/threads...wako-au-sio-wako.1695973/page-4#post-34513296
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namna ya malezi ni ngumu sana kubalance mzani kati ya mwanao na mwingine, namna ya kuzuia asiwasiliane na baba yake
Na nyie wanaume nawaambia tho sina experience ila usioe mwanamke ambae anakuzidi elimu na kipato cha fedha.
Kama Mke ana elimu, basi wewe kuwa na pesa heshima itakuwepo.note: hapa vice versa is not true[emoji3][emoji3][emoji3]
Hapa sitegemei wanawake wenzangu kupingana na Mimi[emoji23]
Unauma halafu unapulizia,hao wanawake ni majanga mkuu,sio wote ila majority ni vichomi...Aisee! Ni hatari saana kiukweli!
Yaani kuoa mwanamke aliye na mtoto kwa Tz, imeshakuwa kama dhambi! Sasa sijui tunaenda wapi jamii yetu!? Na unadhani wataolewa na nani! Pia nao wanahitaji faraja na upendo pia.
Nao wakishaolewa hawaachi kupasha viporo! Tatizo huanzia hapo!
Dah! Tumuachie Mungu tu aamue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip ulimpata yule dada natindeUjanani Nimezaa na wanawake kadhaa na wote sikuwa naangalia vigezo vyako ila nilichojali ni ana nini kichwan na mtu asiyependa sana kujua mambo yangu binafs
Kigezo cha akili ndio muhimu zaid maana hata bila baba watoto kama mama yao kichwani zimo bhas hawatopata tabu sana
mimi kutokana na upumbavu wa akili za ujana wapo watoto nilitelekeza ila nilipokutana nao nilikuta wana maisha mazuri ambayo hata mimi nisingeweza kuwapa...mwisho niliangalia mwonekano wake pia.
Pawaga.
Ni wale mapacha wa kike ndo Uliwaona?Ujanani Nimezaa na wanawake kadhaa na wote sikuwa naangalia vigezo vyako ila nilichojali ni ana nini kichwan na mtu asiyependa sana kujua mambo yangu binafs
Kigezo cha akili ndio muhimu zaid maana hata bila baba watoto kama mama yao kichwani zimo bhas hawatopata tabu sana
mimi kutokana na upumbavu wa akili za ujana wapo watoto nilitelekeza ila nilipokutana nao nilikuta wana maisha mazuri ambayo hata mimi nisingeweza kuwapa...mwisho niliangalia mwonekano wake pia.
Pawaga.
Ikiwa imepangwa na Mungu mimi ninani nikatae?
TrueSiku zote tunawanyanyasa Sana ma single mother kitu ambacho sio sawa.!
Ipo siku utajikuta mwanao wa kike anazaa akiwa nyumban sijui utajisikiaje kwamba ndo asiolewe kabisa??
Naamin sio wote wakiolewa wanarudia matapishi lkn pia inategemea wewe mwanamume umempa misimamo gani huyo mwanamke. Mfano jamaa angu alimwambia sitaki kuona una mawasiliano yoyote Wala kkuona kwa mzazi mwenzako siku nitakayo baini una mawasiliano yoyote Yale utapata kadi nyekundu.
Mpaka Leo huu mwaka wa 8 wanaish vizr kabisa tena mwanamke ana adabu kuona kuolewa kwake n second and last chance!
Mi nawakuli sn tu, unaweza ukaona aliyezaa ametembea na wanaume wachache kuliko huyo unaefikr hajazaa kumbe katembea na sample zote isitoshe na kosa la mauaji anayo!! TUSIHUKUMU BADO TUPO DUNIANI!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwani umemuoa?Namna ya malezi ni ngumu sana kubalance mzani kati ya mwanao na mwingine, namna ya kuzuia asiwasiliane na baba yake
Kinachonikera Mimi naishi na mtoto wake, ila Nina wangu mwingine nje nikiwasiliana nae anawaka
Hawa wanawake hawana akili, mtanisamehe
Anayetaka kuoa single mother aoe ila asirudi hapa analia
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la ndoa halina mtaalam uzoefu wako unaweza usiwe sahihi kwa mwingine, suala la Umri, kipato, Mazingira inategemea tu na akili za wenye ndoa, Cha muhimu vijana waoane wenye sifa zinazoendana ndoa zitadumuNina miaka 20 kwenye ndoa hivyo nina uzoefu wa kutosha na nimeona mengi kwenye maisha ya ndoa. Nimeona ndo zilizodumu na ambazo zimevunjika ndani ya muda mfupi. Katika maisha ya ndoa kuna mivutano mingi tu ila kuna ambayo inavumilika na mingine isiyovumilika.
Ila ukioa mwanamke wa status fulani basi chances kubwa za kushindwana huko mbeleni zinakuwepo. Mimi nilioa miaka 20 iliyopita nikiwa na umri wa miaka 26 na mke wangu akiwa na 22.
Tulikutana wote tukiwa na maisha ya kawaida though mimi nilikuwa university graduate na mwenzangu ni high school graduate but she was business talented. Hakuna ambae alikuwa na mtoto wala kuoa au kuolewa kabla but we are now blessed with three kids.
We are noT reach yet lakini tunaishi kwetu, tunabiashara zetu, tunaishi maisha mazuri na watoto wanasoma shule nzuri ila tulianza kuishi maisha ya chumba kimoja cha kupanga. Ushauri wangu unajikita kwa kijana anaetaka kuolewa hivyo mwengine anaetaka kushauri anaweza kujikita kwa msichana anaetaka kuolewa.
Kwanza kabisa mwanaume ana nafasi kubwa sana ya kudumisha ndoa yake na ndoa kuvunjika sehemu kubwa sana weakness inakuwa upande wa mwanamme. Sababu inaweza kuwa makosa uliyofanya wakati wa kuchagua mchumba au maisha baada ya kuoa. Sifa za mwanamke nitakazotaja inaweza ikaonekana namnyanyapaa mwanamke la hasha ni kwamba tu nataka tuwe realistic mambo yanayoleta mifarakano kwenye maisha ya ndoa. Here we go
1. Usioe mwanamke aliekuzidi umri. Wenzetu umri wao unaonekana unakwenda kwa kasi sana bila kujali ana matunzo ya aina gani. Hivyo basi mwanamke uliempita miaka mitano huko mbeleni yeye atakuwa mzee kuliko sasa je kama yeye kakupita umri je huoni utamchoka mapema sana?
2. Gap kati ya mwanaume na mwanamke isizidi miaka kumi ili ku maintain swala la kumtosheleza mwenza wako lifetime kulingana na umri wenu. Wanaume tukisha anza miaka 55 kuelekea 60 ukweli ni kwamba nguvu nazo zinaanza kupungua sasa kama umepishana umri mrefu na mke kubali kwamba utasaidiwa
3. Mwanamke mwenye mtoto. Kubali tusikubali hili nalo ni tatizo kubwa sana kwanza kwa kijana unakwaza wazazi wako. Kwanini uwaanzishie wazazi wako na wajukuu wakambo? Sawa umempenda mke wako japo ana mtoto lakini huoni kwamba mke ni wako sawa ila umeleta kwenye jamii yenu hivyo ni vizuri na wazazi na ndugu zako wakafurahia mtu asie na doa. Kwani vijana mnakosea wapi mbona wachumba bado wengi tu. Hapa siongelei case ya mjanae kukutana na mgane au Divorcee kukutana na Divorcee these could get married but a fresh young chap.
4. Mwanamke uliompora toka kwa mwanamme mwengine sababu ya pressure fulani either mwanamme alikuwa hana hela ukamzidi, either mwanamme alikuwa ameoa already, either mwanamme alienda kusoma. Kumbuka wanawake ni watu wenye huruma na kukumbuka sana.
Ukioa mwanamke wa aina hii ataendelea kumriwadha huyo jamaa yake siku zote if the man would be interested. Lakini wewe pia utakuwa na kazi ya kumchunga huyo mke wako siku zote ili asije akakutana na ex wake. Hapa ndio maisha ya wivu kwa kwenda mbele kama nyie mnaishi Arusha na Ex anaishi Dar mama akisafiri kuelekea Dar na wewe unataka kwenda. Na ni kweli akienda kama wakifanikiwa kukutana watakulana tu.
Basi hizo ndizo tip zangu kwa leo na kama huniamini na una mchumba wa aina hiyo njoo inbox ni kushauri, kama pia unapitia kwenye experience hiyo come inbox
Ni wale mapacha wa kike ndo Uliwaona?
Mkuu umeongea kweli tupu, hasa kwenye point ya kwanza kuhusu umri wa mke, kwa kuongezea hapo ni kwamba mwanamke akishakuzidi umri basi na uwezo wake wa kufikiria utakuwa mara mbili ya kwako wewe mwanaume, ni kweli kuwa wanawake wamebarikiwa kuwa na ubongo unaoconnect mambo mengi kwa wakati mmoja, so mwanamke akikuzidi umri au akiwa sawa na wewe kiumri jua kuwa kiakili yuko mbali sana na atakusumbua sanaa maana wao majukumu ya maisha huwa wanayaanza mara tu baada ya kuzaliwa, ndo maana utakuta watoto wa kiume wanacheza mpira ila watoto wa kike wanajipikilisha na kulea watoto wa plastic(midoli) ndo nature hiyo....Nina miaka 20 kwenye ndoa hivyo nina uzoefu wa kutosha na nimeona mengi kwenye maisha ya ndoa. Nimeona ndo zilizodumu na ambazo zimevunjika ndani ya muda mfupi. Katika maisha ya ndoa kuna mivutano mingi tu ila kuna ambayo inavumilika na mingine isiyovumilika.
Ila ukioa mwanamke wa status fulani basi chances kubwa za kushindwana huko mbeleni zinakuwepo. Mimi nilioa miaka 20 iliyopita nikiwa na umri wa miaka 26 na mke wangu akiwa na 22.
Tulikutana wote tukiwa na maisha ya kawaida though mimi nilikuwa university graduate na mwenzangu ni high school graduate but she was business talented. Hakuna ambae alikuwa na mtoto wala kuoa au kuolewa kabla but we are now blessed with three kids.
We are noT reach yet lakini tunaishi kwetu, tunabiashara zetu, tunaishi maisha mazuri na watoto wanasoma shule nzuri ila tulianza kuishi maisha ya chumba kimoja cha kupanga. Ushauri wangu unajikita kwa kijana anaetaka kuolewa hivyo mwengine anaetaka kushauri anaweza kujikita kwa msichana anaetaka kuolewa.
Kwanza kabisa mwanaume ana nafasi kubwa sana ya kudumisha ndoa yake na ndoa kuvunjika sehemu kubwa sana weakness inakuwa upande wa mwanamme. Sababu inaweza kuwa makosa uliyofanya wakati wa kuchagua mchumba au maisha baada ya kuoa. Sifa za mwanamke nitakazotaja inaweza ikaonekana namnyanyapaa mwanamke la hasha ni kwamba tu nataka tuwe realistic mambo yanayoleta mifarakano kwenye maisha ya ndoa. Here we go
1. Usioe mwanamke aliekuzidi umri. Wenzetu umri wao unaonekana unakwenda kwa kasi sana bila kujali ana matunzo ya aina gani. Hivyo basi mwanamke uliempita miaka mitano huko mbeleni yeye atakuwa mzee kuliko sasa je kama yeye kakupita umri je huoni utamchoka mapema sana?
2. Gap kati ya mwanaume na mwanamke isizidi miaka kumi ili ku maintain swala la kumtosheleza mwenza wako lifetime kulingana na umri wenu. Wanaume tukisha anza miaka 55 kuelekea 60 ukweli ni kwamba nguvu nazo zinaanza kupungua sasa kama umepishana umri mrefu na mke kubali kwamba utasaidiwa
3. Mwanamke mwenye mtoto. Kubali tusikubali hili nalo ni tatizo kubwa sana kwanza kwa kijana unakwaza wazazi wako. Kwanini uwaanzishie wazazi wako na wajukuu wakambo? Sawa umempenda mke wako japo ana mtoto lakini huoni kwamba mke ni wako sawa ila umeleta kwenye jamii yenu hivyo ni vizuri na wazazi na ndugu zako wakafurahia mtu asie na doa. Kwani vijana mnakosea wapi mbona wachumba bado wengi tu. Hapa siongelei case ya mjanae kukutana na mgane au Divorcee kukutana na Divorcee these could get married but a fresh young chap.
4. Mwanamke uliompora toka kwa mwanamme mwengine sababu ya pressure fulani either mwanamme alikuwa hana hela ukamzidi, either mwanamme alikuwa ameoa already, either mwanamme alienda kusoma. Kumbuka wanawake ni watu wenye huruma na kukumbuka sana.
Ukioa mwanamke wa aina hii ataendelea kumriwadha huyo jamaa yake siku zote if the man would be interested. Lakini wewe pia utakuwa na kazi ya kumchunga huyo mke wako siku zote ili asije akakutana na ex wake. Hapa ndio maisha ya wivu kwa kwenda mbele kama nyie mnaishi Arusha na Ex anaishi Dar mama akisafiri kuelekea Dar na wewe unataka kwenda. Na ni kweli akienda kama wakifanikiwa kukutana watakulana tu.
Basi hizo ndizo tip zangu kwa leo na kama huniamini na una mchumba wa aina hiyo njoo inbox ni kushauri, kama pia unapitia kwenye experience hiyo come inbox
Mkuu umeongea kweli tupu, hasa kwenye point ya kwanza kuhusu umri wa mke, kwa kuongezea hapo ni kwamba mwanamke akishakuzidi umri basi na uwezo wake wa kufikiria utakuwa mara mbili ya kwako wewe mwanaume, ni kweli kuwa wanawake wamebarikiwa kuwa na ubongo unaoconnect mambo mengi kwa wakati mmoja, so mwanamke akikuzidi umri au akiwa sawa na wewe kiumri jua kuwa kiakili yuko mbali sana na atakusumbua sanaa maana wao majukumu ya maisha huwa wanayaanza mara tu baada ya kuzaliwa, ndo maana utakuta watoto wa kiume wanacheza mpira ila watoto wa kike wanajipikilisha na kulea watoto wa plastic(midoli) ndo nature hiyo....
Lakini mkuu kwenye suala na mwanamke mwenye mtoto hapo naona wanaume tulegeze kidogo kuzingatia na mazingira ya huyo mtoto alivyopatikana....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina miaka 20 kwenye ndoa...
Tulikutana wote tukiwa na maisha ya kawaida though mimi nilikuwa university graduate...
We are noT reach yet....
Ushauri wangu unajikita kwa kijana anaetaka kuolewa hivyo mwengine anaetaka kushauri anaweza kujikita kwa msichana anaetaka kuolewa.
Wewe university graduate, though you’re not ‘reach’ yet.... hapo kijana na msichana ni wote wanataka kuolewa..?