Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi


Kuna mambo mengi ambayo ni reality. Mke ni wako peke yako lakini unaleta member mwengine kwenye jamaa yako ambayo inatakuwa kumkubli pia

1. Ndugu zako especially wazazi tayari hapa ni doa
2. Kwenye parenting unaweza kupata dhambi sana ukajikuta automatically una mu isolate huyu mtoto na watoto wako. Siongelei mambo ya kwenda kuogelea, kula chocolate ila mambo essential kama shule basing on your income. Utajikuta wewe na mkeo mnafanya dhambi ku plan shule ambazo watasoma watoto wake na huyu mtoto wa kufikia
3. Siku ya mwisho mta differ na ndio wanaishia kusema niliteswa na baba wa kambo. Mfano mtoto wako mwenyewe mnagombana mkipishana tabia ila huwa hamna doa ila mtoto mwa kambo kila negativity ina last
 
Ushawai ona match inaanza moja bila tayar, kuoa mwanamke mwenye mtoto ni hatar sana ..sithubutu hata iweje
 
Akuoe ili isinje kuwa tatizo
 
hii ya kuanza mechi huku tayari bila bila au moja bila sijui madhara yake ..wanajamvi hebu nijuzeni maanake akili yangu kama inapinduka pinduka now...naogopa kuja kujutia hapo mbele....
 
Vipi kwa wale tunaotaka kuoa wanawake waliotuzidi uwezo kiuchumi. Unatushauri nini ?
 
Vipi kwa wale tunaotaka kuoa wanawake waliotuzidi uwezo kiuchumi. Unatushauri nini ?
 
Siku zote tunawanyanyasa Sana ma single mother kitu ambacho sio sawa.!
Ipo siku utajikuta mwanao wa kike anazaa akiwa nyumban sijui utajisikiaje kwamba ndo asiolewe kabisa??
Naamin sio wote wakiolewa wanarudia matapishi lkn pia inategemea wewe mwanamume umempa misimamo gani huyo mwanamke. Mfano jamaa angu alimwambia sitaki kuona una mawasiliano yoyote Wala kkuona kwa mzazi mwenzako siku nitakayo baini una mawasiliano yoyote Yale utapata kadi nyekundu.
Mpaka Leo huu mwaka wa 8 wanaish vizr kabisa tena mwanamke ana adabu kuona kuolewa kwake n second and last chance!
Mi nawakuli sn tu, unaweza ukaona aliyezaa ametembea na wanaume wachache kuliko huyo unaefikr hajazaa kumbe katembea na sample zote isitoshe na kosa la mauaji anayo!! TUSIHUKUMU BADO TUPO DUNIANI!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa imepangwa na Mungu mimi ninani nikatae?
 
Labda awe mjane ntaona huruma, lkn mtu mwanaume wake yupo hai aisee hunishawishi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…