Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Nmefuatilia sana toka achukue uongozi Rais Samia, kiukweli anaonekana kufaa sana. Nimeona Wapinzani nao wanakubaliana sana na maamuzi yake.
Ushauri wangu:
Huyu Rais tuliye naye sasa apewe nafasi ya kuendelea kuongoza mpaka 2035. Tumeona anaweza na anakubalika. Kwenye nafasi ya Urais Wapinzani wasiweke mtu maana hawana.
Uchaguzi wa 2025 uwe kwa wabunge pekee. Jamani tuokoe pesa za Uchaguzi zitumike kwenye maendeleo.