Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Sanaa, dikteta aliharibu NchiHapana Mkuu! Huyu tusimpe ukomo wa muda!
Atawale mpaka atakapofia madarakani.. kwa Mara ya Kwanza ktk maisha yangu najivunia kua na Rais ktk nchi yangu.
Aachane na Katiba Mpya kwanza, akubali tu basi hata uwepo wa Tume Huru ya uchaguzi halafu ajipime na upinzani kwenye uchaguzi mkuu ujao ili aone kama anakubalika, au la!Uchaguzi huru na wa haki ndio kipimo cha kuwa Mama anakubalika. Sio kama chafuzi mlizokuwa mnafanya na kuja na maneno yenu ya ushindi wa kishindo
Yes president wa Muyaya Kama Bakil muruzi enzi hizo!
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI CCM. ASANTE SAANA MLETA MAADA NZURI KAMA HIIII. NIMEONA UFIPA YOTE IMEKUPONGEZA. SASA NIOMBE WAPINZANI WOTE TUUNGANE 2025 MAMA APITE BILA KUPINGWA.Nmefuatilia sana toka achukue uongozi Rais Samia, kiukweli anaonekana kufaa sana. Nmeona wapinzani nao wanakubaliana sana na maamuzi yake.
Ushauri wangu:
Huyu rais tuliye naye sasa apewe nafasi ya kuendelea kuongoza mpaka 2035. Tumeona anaweza na anakubalika. Kwenye nafasi ya Urais wapinzani wasiweke mtu maana hawana.
Uchaguzi wa 2025 uwe kwa wabunge pekee. Jamani tuokoe pesa za Uchaguzi zitumike kwenye maendeleo.
Wewe ni wa juzi. President wa muyaya alikua ni Dr. Kamuzu Hastings Banda, the first president of Malawi.Yes president wa Muyaya Kama Bakil muruzi enzi hizo!
Sawa Mkuu..! Si unajua Tena sisi tuliozaliwa kipindi cha Jakaya!Wewe ni wa juzi. President wa muyaya alikua ni Dr. Kamuzu Hastings Banda, the first president of Malawi.