Kwa anayoyafanya Rais Samia tumpe mpaka 2035, Wapinzani nao wamemkubali

Mimi naunga mkono kabisa.

Unajua toka tupate uhuru tukuwahi kuwa na shida ya viongozi wala uongozi yani kila kitu kilikuwa sawa isipokuwa kwa Magufuli tu, hivyo kama Magufuli hayupo basi kila kitu kimerudi kuwa sawa hakuna tena shida yeyote yote yameisha baada ya kuondoka Magufuli hivyo naunga mkono hakuna haja ya uchaguzi wa rais maana kila kitu kiko sawa tu shida ya Tanzania ilikuwa ni Magufuli tu sasa tutake nini tena wakati matatizo yetu kaondoka nayo mwendazake.
 
Muwe munasoma basi katiba, Kama mtangulizi wake, angekuwa ametumikia cheo chake kwa miaka miwili, hapo angeenda hadi 2035. Kwasabbu Magu hakutumiakia miaka miwili, hivyo. Kuanzia sasa inahesabika kuwa. huu ni muhula was kwanza wa uongozi wake, hivyo ataishia 2030.
 

Si tumependa anavyoongoza akiweza aende hata mpaka 2040 kama umri na afya itaruhusu.
 
Sophia Mjema apewa asante kwa kauli yake mama mpaka 2035
 

Attachments

  • IMG-20231022-WA0010.jpg
    57.6 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…