hata ikiwepo haitasaidia, simu nyingi za wizi zinasambaratishwa na kuuzwa kama spare parts
rejea iPhone, zina iCloud lock ambayo unaweza activate ikiibiwa, lakini wapi, haisaidii, simu kesho yake ishasambaratishwa unakuta spare za kioo kule mtaa wa Aggrey
Hizo townships ni za watu wenye kipato cha chini/kati wenye uwezo wa kununua Infinix, Tecno, simu zenye SoC ya ovyo kabisa, SoC yenye modem ambayo unabadili IMEI on the flypembezoni mwa townships
Hard reset na factory reset unaweza kama utaigeuza anti theft kuwa system app sema njia hii inahitaji uwe na root access, akiflash nayo inakwenda na maji.
Kuanzia android za karibuni kuna mambo ya partition kwenye Android sijajua kama unaweza tumia hizi partition kutrack simu maana unapoflash partition moja tu ndio inafutika. Hili linahitaji research zaidi.
Mkuu tumia simu kama iphone na baadhi ya simu za Android ambazo huwezi kufanya hiyo kitu kama Samsung matoleo yajuu na Huawei kama sijakosea
Hizi simu za kichina kama Tecno itel na jamii zake huwezi
Uki root simu zipo app ambazo hizo app hazitoki uki hard rest lakini kwa mtaalamu anazifuta
Cerberus ni app husika inafanya hii kazi ila ni ya kulipia. Simu ukiwa umeiroot itaomba root access kujiunga n rom yAko.Naomba elimu zaidi kwenye hiyo njia ya kwanza ya kutumia anti-theft with root access.
Google account inatoka na Frp, kuna simu unatoa frp kizembe sana.Kusajili 'google account' , Je itanipa security mpaka level gani?
Cerberus ni app husika inafanya hii kazi ila ni ya kulipia. Simu ukiwa umeiroot itaomba root access kujiunga n rom yAko.
Hard na factory reset inaweza maanisha kitu kimoja, hii ni kuifanya simu ifute vitu vyote irudi kama ilivyokuwa.cheers mkuu. Usichoke kutupa mwanga.
Hivi vitu vinne vinanichanganya kuvielewa vyema (nimejaribu kugoogle lakini bado vinanichanganya): HARD RESET; FACTORY RESET; FLASHING; IMEI CHANGE... ni kitu kile kile? au ni procedures tofauti?
If ni procedures tofauti, Cerberus (with root access) ina uwezo wa kusurvive all of them?