Mitaji ndiyo inakwamisha wasomi kuji in giza katika kilimo cha kisasa kinachohitaji uwekezaji mkubwa.Hii nchi kipaumbele pekee ni mambo tusiyo na uhakika nayo,kuhusu kilimo bado sana
Akipatikana Rais Mmoja tu akafunga macho akakomaa na kilimo sio cha alizeti Tu ila kila zao
Tanzania tunatoboa,sio bandari sio nini itakuta income inayotokea kuptia kilimo n basi hajapatkana Rais mwenye Jicho la kuangalia wapi pesa ipo
Kwann serikali isituonyeshe Mfano maana ina rasilimali zote? Hii ingetupa chachu vijana kuweza kufanya hii kitu kwa kuangalia mifano hai tupate sehemu ya kujifunzia,Hamna kitu ngmu kama kufanya Practical wakati hujawahi hata kuona kwa macho practical ikifanyika zaidi ya kusoma tu theories.Mitaji ndiyo inakwamisha wasomi kuji in giza katika kilimo cha kisasa kinachohitaji uwekezaji mkubwa.
Vijana wakijiunga kama 20 na waweke milioni tano kila mmoja, wapate ekari 300 na kulima alizeti wanaweza kabadilisha maisha yao na ya Watanzania wengine wanaowazunguka.
Watzn wako kama wewe hivyo yaani kupiga Domo tuu hakuna vitendo.Sehemu nyingi za Tanzania alizeti inastawi vizuri sana. Kuanzia Singida na hata maeneo ya Handeni. Wakulima wadogo wanalima na wanavuna.
Hawa think tanks wetu hawajaangalia uwezekano wa kufanya uwekezaji mkubwa wa zao hili kiasi cha kutoa ajira nyingi kwa vijana na pia kutiweka kuwa wauzaji wa kuu wa alizeti kwa soko la Afrika?
Ukraine waliwekeza sana kwenye zao hili na mziki wake tunauona baada ya hii vita kuanza. Pamoja na ardhi tuliyonayo, hata sisi ni wateja wa mafuta ya alizeti kutoka huko.
Kuna vitu viwili wafanyabiashara vs wawekezaji. Sisi tuna wafanyabiashara hatuna wazawa wa kuwekeza kwa muda mrefu. Tuna michikichi Kigoma ambayo tungeweza kutengeneza mafuta ya mawese ambayo ni mazuri kwa kutumia leo hii watu wanapata pressure,kisukari shida ni mafuta. Taifa linatumia gharama nyingi sana kwa sababu ya mafuta ya kula.Sehemu nyingi za Tanzania alizeti inastawi vizuri sana. Kuanzia Singida na hata maeneo ya Handeni. Wakulima wadogo wanalima na wanavuna.
Hawa think tanks wetu hawajaangalia uwezekano wa kufanya uwekezaji mkubwa wa zao hili kiasi cha kutoa ajira nyingi kwa vijana na pia kutiweka kuwa wauzaji wa kuu wa alizeti kwa soko la Afrika?
Ukraine waliwekeza sana kwenye zao hili na mziki wake tunauona baada ya hii vita kuanza. Pamoja na ardhi tuliyonayo, hata sisi ni wateja wa mafuta ya alizeti kutoka huko.
Serikali inatoa pesa za mitaji ila watu wanataka kubet tuu mjini.Mitaji ndiyo inakwamisha wasomi kuji in giza katika kilimo cha kisasa kinachohitaji uwekezaji mkubwa.
Vijana wakijiunga kama 20 na waweke milioni tano kila mmoja, wapate ekari 300 na kulima alizeti wanaweza kabadilisha maisha yao na ya Watanzania wengine wanaowazunguka.
Kwanza tukiwekeza kwenye kilimo tunaweza kwama kwingine lakn kwenye swala la msingi na la kwanza kwa mwanadamu tutakuwa tumelitatua 100% ambalo ni chakula kwanza.Hii nchi kipaumbele pekee ni mambo tusiyo na uhakika nayo,kuhusu kilimo bado sana
Akipatikana Rais Mmoja tu akafunga macho akakomaa na kilimo sio cha alizeti Tu ila kila zao
Tanzania tunatoboa,sio bandari sio nini itakuta income inayotokea kuptia kilimo n basi hajapatkana Rais mwenye Jicho la kuangalia wapi pesa ipo
Uwekezaji mkubwa wa sekta binafsi Ethiopia unafanywa na wazawa hasa wali o Ughaibuni, wengi walipata ukimbizi miaka ya 80-90 na sasa wanaamua kuwekeza nyumbani kwao. Wengine wamefungua viwanda vya viatu na Mikoba ya ngozi kutokana na upatikanaji wa ngozi kuwa mkubwa nchini mwao.Kwann serikali isituonyeshe Mfano maana ina rasilimali zote? Hii ingetupa chachu vijana kuweza kufanya hii kitu kwa kuangalia mifano hai tupate sehemu ya kujifunzia,Hamna kitu ngmu kama kufanya Practical wakati hujawahi hata kuona kwa macho practical ikifanyika zaidi ya kusoma tu theories.
Njombe pia ,songea na rukwa ,katavi kote huko inakubaliHata Dodoma hilo zao linastawi sana...
Chini ya akili finyu za CCM hamna kitakachofanikiwa.Sehemu nyingi za Tanzania alizeti inastawi vizuri sana. Kuanzia Singida na hata maeneo ya Handeni. Wakulima wadogo wanalima na wanavuna.
Hawa think tanks wetu hawajaangalia uwezekano wa kufanya uwekezaji mkubwa wa zao hili kiasi cha kutoa ajira nyingi kwa vijana na pia kutiweka kuwa wauzaji wa kuu wa alizeti kwa soko la Afrika?
Ukraine waliwekeza sana kwenye zao hili na mziki wake tunauona baada ya hii vita kuanza. Pamoja na ardhi tuliyonayo, hata sisi ni wateja wa mafuta ya alizeti kutoka huko.
Kwamba ni chache au nyingi? SijaelewaAlizeti wengi mnaichukulia poa
Ekari moja ya alizeti kuvuja gunia 3 au 4 au tano ni kawaida sana