Na sabuni inatengeneza piaAlizeti pekee inatosha kututoa kimasomaso,hapo sijakwambia michikichi ya mafuta ya mawese,ukiacha mikoa ya Kigoma na Tabora michikichi pia inakubali maeneo mengi ya pwani.mawese yanatumika kutengeneza mafuta ya kula.
Wewe umechukua hatua gani? Ktk kilimo au Ndio kila MTU analalamika tuuuuu. Viongozi wetu na wananchi pia wanalalamikaSehemu nyingi za Tanzania alizeti inastawi vizuri sana. Kuanzia Singida na hata maeneo ya Handeni. Wakulima wadogo wanalima na wanavuna.
Hawa think tanks wetu hawajaangalia uwezekano wa kufanya uwekezaji mkubwa wa zao hili kiasi cha kutoa ajira nyingi kwa vijana na pia kutiweka kuwa wauzaji wa kuu wa alizeti kwa soko la Afrika?
Ukraine waliwekeza sana kwenye zao hili na mziki wake tunauona baada ya hii vita kuanza. Pamoja na ardhi tuliyonayo, hata sisi ni wateja wa mafuta ya alizeti kutoka huko.
Nenda kigoma ukajionee kila kiinachotoka kwenye mawese hakuna kinachotupwa hata tone moja la byproducts zake.Mawese yanatoa malighafi gani nyingine zaidi ya mafuta
Mkuu changamkia hiyo kitu. Ni bonge la opportunity. Usitegemee mwenzako afanye. Anza wewe.Sehemu nyingi za Tanzania alizeti inastawi vizuri sana. Kuanzia Singida na hata maeneo ya Handeni. Wakulima wadogo wanalima na wanavuna.
Hawa think tanks wetu hawajaangalia uwezekano wa kufanya uwekezaji mkubwa wa zao hili kiasi cha kutoa ajira nyingi kwa vijana na pia kutiweka kuwa wauzaji wa kuu wa alizeti kwa soko la Afrika?
Ukraine waliwekeza sana kwenye zao hili na mziki wake tunauona baada ya hii vita kuanza. Pamoja na ardhi tuliyonayo, hata sisi ni wateja wa mafuta ya alizeti kutoka huko.
Naunga mkono hoja.kuna watu wananufaika na huu umasikini wa watanzania, tunalazimishwa kuwa masikini na watunga sera wanaotumikia matumbo yao.
Mashudu ya alizeti ni chakula cha mifugo tena ng’ombe wananenepa kweli wakila.Nenda kigoma ukajionee kila kiinachotoka kwenye mawese hakuna kinachotupwa hata tone moja la byproducts zake.
Chelewa
Sabuni
Mashudu na vinginevyo vingi tuu
Mimi na wewe sky, twende tufanye survey then tufufue hicho kiwanda kama inawezekana, na tuweke modality kwa kuwatembelea wenye mashamba makubwa ya alizeti ili kuzizuia kwa ajili ya raw materials. Kama upo tayari nicheki pia tujue kiwanda kipo wapi na kilikuwa chini ya usimamizi wa nani means private au government.Miaka ile ya Chama kushika hatamu kulikua na kiwanda cha kuchakata alizeti kuwa mafuta, mafuta ya alizeti yaliuzwa kwenye magaloni ya ujazo wa litre tatu na tano. Hivi viwanda vikiwezeshwa tunaweza kukaba soko la East Africa kwa kuanzia.
I will do that bossMimi na wewe sky, twende tufanye survey then tufufue hicho kiwanda kama inawezekana, na tuweke modality kwa kuwatembelea wenye mashamba makubwa ya alizeti ili kuzizuia kwa ajili ya raw materials. Kama upo tayari nicheki pia tujue kiwanda kipo wapi na kilikuwa chini ya usimamizi wa nani means private au government.
Check me: eclicken@gmail.com
Asante
Nipo tayari pia.Tukipata Watu watano, wakawa tayari kutoa 5m Kila Mtu na tukajiunga na ku-process loan bank tunaweza kukusanya 50m Hadi 100m, hii tunaweza kuweka kwenye Alizeti tukafanya wonders. Tukipata 1b tunafanya kilimo Cha umwagiliaji bila kumtegemea Mvua, meaning kuwa Kunakua na stable and quaranteed supply ya Alizeti.
Nimefika Kondoa, Kuna kiwanda Cha Mafuta ya Alizeti, ameshapumzika kwa Amani yule Mzee ila ni uwekezaji mkubwa japo hakifanyi kazi Tena Kwa sasa.
Water table Iko juu sana ukanda wote wa Dodoma, Singida hata baadhi ya maeneo ya Tabora na Shinyanga kwahio irrigation system ni Rahisi sana na pump unafunga za solar.
Sunflower husks ni raw materials ghali sana sana na most of the time zinakua exported. Kwahio huuzi Mafuta tu unauza Hadi hayo mashudu kwa Ajili ya break pads na chakula Cha mifugo....nani Yuko Tayari?
Sahihi kabisaTukipata Watu watano, wakawa tayari kutoa 5m Kila Mtu na tukajiunga na ku-process loan bank tunaweza kukusanya 50m Hadi 100m, hii tunaweza kuweka kwenye Alizeti tukafanya wonders. Tukipata 1b tunafanya kilimo Cha umwagiliaji bila kumtegemea Mvua, meaning kuwa Kunakua na stable and quaranteed supply ya Alizeti.
Nimefika Kondoa, Kuna kiwanda Cha Mafuta ya Alizeti, ameshapumzika kwa Amani yule Mzee ila ni uwekezaji mkubwa japo hakifanyi kazi Tena Kwa sasa.
Water table Iko juu sana ukanda wote wa Dodoma, Singida hata baadhi ya maeneo ya Tabora na Shinyanga kwahio irrigation system ni Rahisi sana na pump unafunga za solar.
Sunflower husks ni raw materials ghali sana sana na most of the time zinakua exported. Kwahio huuzi Mafuta tu unauza Hadi hayo mashudu kwa Ajili ya break pads na chakula Cha mifugo....nani Yuko Tayari?
Waziri wa kilimo ni mtoto wa mjini anawanunulia maafiaa ugani boda ndo think tank raisi mzamzibar wapi na kilimo za I waziri mkuu sijui mvuviSehemu nyingi za Tanzania alizeti inastawi vizuri sana. Kuanzia Singida na hata maeneo ya Handeni. Wakulima wadogo wanalima na wanavuna.
Hawa think tanks wetu hawajaangalia uwezekano wa kufanya uwekezaji mkubwa wa zao hili kiasi cha kutoa ajira nyingi kwa vijana na pia kutiweka kuwa wauzaji wa kuu wa alizeti kwa soko la Afrika?
Ukraine waliwekeza sana kwenye zao hili na mziki wake tunauona baada ya hii vita kuanza. Pamoja na ardhi tuliyonayo, hata sisi ni wateja wa mafuta ya alizeti kutoka huko.
Maafisa ugani wapeni ukiwa boxer Msomali na kilimo lini....Hivi zile billions za Bashe ziko Wapi?
Mm ni mkulima na mfugaji changamoto za huku sio Za Kitoto you have a good idea ila in practical things are quite oposite Agro imputs hazinunuliki Mikopo haipatikaniki I hatuna collterals zinazokubalika Kwa banks Kuna siasa nyingi sana humu Zana za kilimo mf trekta ukikopeshwa inakupa he kwenye hii climate change Mm nafanya Kwa hobby tu other wise ni Hasara tu....Kitu cha muhimu ni mnunuzi atakae kuwa tayari kusafirisha au kusindika hapa hapana kuuza mafuta.
Kama unavyosema msaada wa serikali hapa unahitajika sana watakapoona umuhimu wa zao hili. Licha ya kupanga bei elekezi, kama alizeti likiwa zao la kipaumbele wakulima wake wa kuanzia ekari 10 waorodheshww na waweze kusaidiwa pembejeo na hata kupata ruzuku hali ya hewa inapokua mbaya. Hii itawasaidia wakulima wasiachane na kilimo wanapopata hasara.Tatizo kubwa ni gharama kubwa za uzakishaji vs bei ya kuuzia
Gharama za kuzalisha alizeti hata kwa kilimo cha mvua tu bado ni ghali sana haswa ukilima kitaalamu
Na kibaya zaidi bei unakuja kupangiwa na wahuni wanaojiita wanunuzi au wafanyabiashara
Wakwanza kulaumiwa katika hili ni serikali, inapaswa kuratibu zoezi zima kuhakikisha mkulima na wanunuzi wote wanafaidika
Hata siku moja hatujawahi kuzalisha alizeti ya kukidhi mahitaji yetu which means kama serikali ikiingilia kati na kupanga bei elekezi kwamba kilo ya alizeti itanunuliwa kiasi fulani na hakuna mjadala
Kuanzia hapo mkulima atakua na nafasi ya kucalculate vizuri na kisha tutapata bei ya uhakika yenye faida kama mchimba dhahabu anavyojua akipata gram kadhaa ana kiasi kadhaa
Alizeti mkianza kuvuna wahuni wanashusha bei gunia zima elfu20 kisha wanaweka stock wanasubiri bei halisi ya gunia laki 2 ndio wanauza
Mkulima njaa hana uwezo wa kuweka stock miezi 10
Serikali ipange bei isiache soko huria kwenye nchi za kihuni kama hii wakulima wanaumia na ndio maana hawazalishi kwa wingi kibiashara
Kama kikiwa na bei nzuri elekezi mwaka mzima na inawezekana kwasababu alizeti haijawahi kutosha
Wakulima watakua na uhakika na mahesabu yao
Mbegu bora kilo elfu35
Ili upate kilicho bora mbolea mfuko sasa ni laki na hela
Matokeo yake tunalima lima tu ekari unapata gunia 2 au 3 tu na wahuni wanakupangia bei
Na ikitokea mmevuna kwa wingi wanunua gunia elfu 15..... SHENZI KABISA
Ninafikiria jinsi ya ku lobby ili kupata vifaa vya kilimo kwa mikopo nafuu kama vile wanavyotoa bodaboda. Lakini mambo mengi nchi hii hufanyika kusiasa. Hata ile mikopo ya boda boda hutolewa kabla ya uchaguzi.Mm ni mkulima na mfugaji changamoto za huku sio Za Kitoto you have a good idea ila in practical things are quite oposite Agro imputs hazinunuliki Mikopo haipatikaniki I hatuna collterals zinazokubalika Kwa banks Kuna siasa nyingi sana humu Zana za kilimo mf trekta ukikopeshwa inakupa he kwenye hii climate change Mm nafanya Kwa hobby tu other wise ni Hasara tu....