u
taratibu za Kuoa - Kuvaa kanzu huku kiunoni kuna jambia la vitani kudhani ndio uislam. ?
Hayo yote unayasema wewe kwa kujidangaya. Muisla anamtukuza mmoja tu, ndiyo maana unaisikia ile "Allahu Akbar".Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya kiarabu ngozi ya mtume, mwarabu akitaka kitu flani ni ngumu kumkatalia, akikosea kitu flani rahisi kumsamehe.
Biriani haina asili ya Kiarabu, kafanye homework yako vizuri. Umebugiii.Vyakula - kikiwa kina asili ya uarabuni mfano biriani kitapewa heshima zaidi kuliko pilau
Ma shaa Allah, kitabu cha Qur'an kilishushwa kwa lugha ya Kiarabu, mpaka leo kipo hivyo hivyo orijino, dunia nzima utapokuta Waislam watasali na kukisoma namna moja. Huo ni muujiza unaoishi na wewe.lugha - Kusoma quran kwa kiarabu hata kama huelewi, kusalimiana kwa kiarabu, n.k.