Kwa Askofu Kakobe - Baada ya kufunga ndoa, maharusi wapanda daladala na pikipiki kwenda makwao

Pete sio amri, Ni Kama zilivyo nguo ndefu za mkia kwenye harusi
Kama hamna pete sawa, ikiwa nayo inaongeza mashamsham
 
Anayekimbia hajakupenda
 
Mi nadhani ndoa inahitaji kushuhudiwa na watu kama ishara ya baraka pia. Kama bible imeweza kuhusianisha tukio la kuokolewa na bwana kama ni mfano wa harusi na kila jicho litashuhudia nadhani its a blessing zaidi watu wakishuhudia.
 
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na Kakobe.
 
Tunachokereka nii kutusumbua michango
...kubaliana na mwenzako, itisheni wazazi na mchungaji, tawanyikeni
Kama hauna pesa mwambie mtu ukweli kwamba, "ndugu yangu hongera kwa kuamua kufunga ndoa lakini mimi nipo katika hali mbaya sana ki-uchumi"
 
Sema waumini wa Kakobe wanaona(ga) kama vile tumewavamia kwenye sayari yao. Tuondoke.
 
Safi sana, Mungu akawaongoze katika maisha yao.
 
Yaani nalo niswala lakujinadi nalo?
Huko nje Kakobe amepaki V8 lake,waumini wengi ni wasaga lami
 
Mi nadhani ndoa inahitaji kushuhudiwa na watu kama ishara ya baraka pia. Kama bible imeweza kuhusianisha tukio la kuokolewa na bwana kama ni mfano wa harusi na kila jicho litashuhudia nadhani its a blessing zaidi watu wakishuhudia.
Ndoa hizi zimeshuhudiwa na maelfu ya watu; na kati yao ni ndugu na marafiki zao
 
Masihi mwenyewe alikuwepo kwenye harusi moja huko kana, divai ikaisha akafanya mambo yake watu wakaendelea kunywa kwa furaha.
Si kila neno katika divai katika Biblia maana yake ni pombe kama wengi wanavyofikiri lazima pombe iwepo katika sherehe zao kama hizi std7
 



Tujikumbushe habari ya kijana Ezekiel Zachary Kakobe, mtoto wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe; naye alifunga ndoa na GRACE MATHIAS MWANGU, katika Ibada ya Ndoa iliyofanyika katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Dar-Es-Salaam; lililoko Barabara ya Sam Nujoma, Mwenge; siku ya JUMATANO, tarehe 10.Feb.2021.

Katika kanisa la Full Gospel Bible Fellowship ndoa zote ziko sawa kama yanenavyo maandiko matakatifu katika Biblia. Sasa unaweza kufungua link >>> Album ya tukio la ndoa ya Kijana Ezekiel wa askofu Zachary Kakobe

Baba Askofu mkuu Kakobe, alihubiri ujumbe wa Neno la Mungu lisiloghoshiwa, wenye kichwa, "LAKINI TANGU MWANZO HAIKUWA HIVI (MATHAYO 19:8). Tazama sehemu ya matukio ya ibada ya ndoa hii kupitia video kwa hisani ya wapendwa wa Chomoza Tv

Imeandikwa katika Biblia Takatifu "mwanamume atamwacha baba yake na mama yake; naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja".
 

Attachments

  • 1614367873262.png
    1.1 MB · Views: 1
Si kila neno katika divai katika Biblia maana yake ni pombe kama wengi wanavyofikiri lazima pombe iwepo katika sherehe zao kama hizi std7
Mimi siko huko kwenye pombe, mimi nasema Yesu alkuwepo kwenye harusi yaani ukumbini kwenye sherehe, na alitoa mchango wake kwenye hiyo harusi kwaiyo harusi ni kitu cha baraka.
Sasa mlokole kama anajitenga na watu, na ndugu, jamaa na marafiki,
Kwanini siku akioa hasiwe kama mwana mkiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…