Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Ndoto niliyoota ni kwamba wakubwa wakisema hakuna ni hakuna ...kwa Sasa yanga ni mtoto pendwa kabisa ..ni wakati wake kudeka na kujigalagaza ...na sisi Simba SC tujitahidi kupigana nafasi ya pili mpaka 2031 kwa Sasa milango imebanwa kisawasawa! Tuombe hiyo 2031 nchi asipewe yule jamaa wa iramba ,akipewa yule basi Simba kuwa bingwa ni mpaka 2041 --2042.