Kwa bahati mbaya Eminem ni mzungu, hali hii imetufanya watu wenye asili ya kiafrika tuwe wagumu kukubali ukweli yeye ndie mfalme

Kwa bahati mbaya Eminem ni mzungu, hali hii imetufanya watu wenye asili ya kiafrika tuwe wagumu kukubali ukweli yeye ndie mfalme

Speed ni nyongeza tu kwa M&M mwenyewe anasema kipindi cha battle cloud inachizika zaidi akianza kukimbiza hivyo akaongeza speed kwenye collection yake.
Ndani ya Lose Yourself alikuwa anatembea kawaida sana lakini ile mistari ilitakiwa kuandikwa ndani ya Egyptian pyramid ni sacred verses.

Em hana haja ya kuwa black sababu jamaa anafit everywhere.
 
Back
Top Bottom