Kwa bajeti ya milion 2 niwekeje ghetto liwe Kali?

Nenda Buguruni au Tandale, chumba elfu 20. Ukilipa kodi ya mwaka utamlala mama mwenye nyumba na familia yake yote mpaka mumewe.

Nunua kitanda cha sofabed cha 350 na godoro lake. Carpet la pvc kama elfu 30. Mtungi mdogo gas, subwoofer ya seapiano na tv ya alyon ya 43'. Hapo utakuwa Don la kitaa na change inabaki.
 
Tunapata shida kuchangia mada kama hizi kwa sababu kuna utoto mwingi hapa au chai ya kutosha.

Eeeh kumbe ndio nishachangia mada
 
Kitanda na godoro ninavyo
 
LIPIA Tangazo
 
Ungetaka tukuamini ungeuliza tuu hilo swali lako hakukuwa na haja ya kujielezea sana wewe na aibu zako
 
Mental health is REAL
 
Kama kupangilia tu ghetto mpaka uulize humu hakika bado una uvulana ndani yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…