Kwa bajeti ya milion 2 niwekeje ghetto liwe Kali?

Unasumbuliwa na Balehe Changa
 
2m geto ongezq bajet kama unatak geto kali tv smatr inch 55 friji kitanda kizuri sofa simple za lethal, zuria, almost 6ml geto linakuwa la kibabe kodi self
 
Sikiliza wimbo wa ngwair ghetto langu
Zingatia

Kapeti manyoya stuli meza kioo,
Kitanda nane kwa kumi,
Marumaru mpaka kwenye choo,
Kimashine cha uzushi cha drycleaner,
Chumba cha Kati kuna studio ya kiaina,
Bafuni sink hakuna bali kuna jacuzzi,
Screen kila kona tunacheki tu movie,
Ungo decoder mwendo ni Dstv,
Zinga la Tv na deck ya DVD,
Bonge la mziki linatwanga tu CD,
Na hakuna feni full time ni AC,



View: https://youtu.be/lPO3i4d_x4I?feature=shared
 
Sofa _150k
Kitanda _ 180k
TV _ 160k
Cookies table_60k
Taa _ 30k
Godoro_150k
Henka ya nguo_46k
Sabufa_150k
Shuka_30k
Kapeti_65k
Pazia_45k
Dressing table_110k
Feni_30k
Kodi_70 per month

Total_ .......
 
Nyie ndio bado watoto wamama, hamjui lolote kuhusu life.
Eti mshahara mil 2 then unaomba LUKU, hv umetuchukuliaje we dogo?
 
Nenda mlimani city
 
Kiduku lilo amerudi tena
 
Msasani ipi hiyo au maeneo ya kule general tyre Kwa ndani ndani kule mvua zikinyesha maji yanaingia ndani ndo ghetto likikuwa
 
na wewe jiongeze basi, umepata pa kukaa bure basi hata luku unataka ulipiwe na matumizi ya umeme ni ya kwako wewe! Huo mshahara badala ya kusave na kuja kufanya la maana baadae (hata kujenga yako) unaanza kuhangaika kutaka kujimwambafy na wala uwezo huna.

Ikiwa unataka ghetto ya maana (msomi kutoka USA) angalau weka laki tatu na nusu hivi, kwani hizo la laki 2 na chini ya hapo siyo za hadhi yako.

Ama kweli vijana wa leo!!!!!!!
 
Mshahara wa January wote niliitumia Valentine's
hivi wewe kweli unaweza kuishi mwenyewe kama huwezi hata kupanga bajeti ya mwezi? Unamalizaje fedha kwa event ya siku moja wakati hujakamilisha kulipia mahitaji muhimu?

Kuna siku utailaza familia yako na njaa wewe.
 
Anza sabufa ya laki 120 ya mchina uwe unaweka masingeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…