Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Kwa used hii budget unapata xperia 5 II simu nzuri zaidi kwa hio budget sema around 330,000 ni sweet spot ila kama unaongea sana 320,000 pia waweza pata. Ina tick matumizi yako yote hayo. Sema display yake ni nyembamba halafu ndefu uangalie kwanza kama unaweza ishi na remote.Wakuu habari za muda huu,
Kwa wale wajuzi wa simu naombeni mnipatie muongozo wa aina gani ya simu ninunue kwa bajeti ya 300,000/- mpya/used.
Vipaumbele vyangu ni;
1. Battery nzuri at least kuanzia 2500Mah na kuendelea.
2. Simu iwe na display nzuri.
3. Iwe na camera nzuri.
4. Internal storage 4RAM/64GB 6RAM/128GB.
5. Atleast screen size iwe 6.1 inch to 6.5 inch.
Karibuni wadau, pia mnaweza mkanishauri pia kama bajeti haitoshi niongeze ngapi ili niweze kupata simu nzuri, asanteni.
Kwa mpya redmi 12C sema camera ya kawaida sana. Ila storage, battery na display ukubwa vinakidhi mahitaji