Luca Paguro
Member
- Mar 26, 2023
- 85
- 130
Shukrani mkuuKwani lazima ununue sasahivi? Jichange kwanza ifike 560K ununue Redmi Note 13 Pro 5G
Ina SoC nzuri "Snapdragon 7s Gen 2, ina kamera nzuri na resolution kubwa ya 4K kwenye kurekodi video, fast charging, speaker nzuri nk