Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Redmi 13C na 12C ni kama simu moja tu, sema kwa hio Bei ni nzuri sana maana Tigo wanauza 280,000, unaipata wapi?Kuna redmi 13C imetoka juzi tu budget ya kawaida specifications bora. Nafikiria niichukue pia. Zinaanzia 269000/-
Pia cheki Redmi 12 5G ama Poco M6 pro nazo simu nzuri kama unazipata Chini ya 350,000