Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukimtoa mbowe cdm kuna vichaaa wengi sana
Itabidi wayang'oe yotte. Maridhiano ya kisanii hayana nafasi.Sasa itakuwaje Yale mabango nchi nzima
Maridhiano maana yake siasa sio uadui ndo msingi wa maridhiano haimaanishi kwamba wasikoselewe kazi ya chadema kama chama cha upinzani ni kukosoaYale yako sawa ni walienda kweli au picha ni za kutengenezwa
Maridhiano maana yake siasa sio uadui ndo msingi wa maridhiano haimaanishi kwamba wasikoselewe kazi ya chadema kama chama cha upinzani ni kukosoaItabidi wayang'oe yotte. Maridhiano ya kisanii hayana nafasi.
Wewe ukiwa kichaa mkuu. Umejuaje chadema Kuna vichaa Kama wewe sio kichaa. Punguza unafiki.ukimtoa mbowe cdm kuna vichaaa wengi sana
Maridhiano haimaanish chadema hawakosoi tena, wanaendelea kukosoa kama kawaidaMaridhiano ya KITAPELI haya, Rais ameonesha dharau kubwa sana
Katiba ya Tanzania rais yuko juu ya katibaHawa watu hawaeleweki wanachokisimamia au kukipigania!! Hawa ndo wanataka utawala wa sheria ila hapo wanalazimisha Rais aingilie mhimili mwingine(mahakama)!!
Hawa ni mapopoma
Mama ni mpole, mnyenyekevu, mcha Mungu.
Utawala gani wa sheria kesi inakaa miaka mitano. Nini kinachelewesha kesi?. Tuache unafiki wa kutetea ujinga.Hawa watu hawaeleweki wanachokisimamia au kukipigania!! Hawa ndo wanataka utawala wa sheria ila hapo wanalazimisha Rais aingilie mhimili mwingine(mahakama)!!
Hawa ni mapopoma