Kwa bei hii ya bangi najitosa kuilima

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Nimemsikia mbunge mmoja anasema hapa Tanzania gunia moja la bangi ni Tsh. 4,000,000/= na huko Zimbabwe ni USD 7,000/=. Eka moja ya bangi unapata gunia 6.

Sasa kwa nini nife masikini wakati fedha za bangi ziko nje nje. Na isitoshe bangi haipati magonjwa wala hailiwi na wadudu.

Potelea mbali nikikamatwa ni ajali kazini!!
 
Umefanya utafiti wew mwenyew au unasikiliza maneno ya watu ?
 
Nadhani ameyasema hayo kama mtego wa kuwatoa pangoni waliozificha darini kule AR. Wenzao wa koroshow wakaambiwa hata kangomba wazilete nazo zitanuinuliwa kwa bei ya juu. Waulize kilichowapata. Mark ma words.
 
Fanya biashara soko lipo mawaziri wameruhusiwa wavute ili wawe wakali. Mimi ni gongo tu nalo limeruhusiwa.
 
Same milimani 800,000
Tarime 1000,000
Morogoro 600,000
Karagwe 500,000
Kazi kusafirisha ndio balaaa ukikamatwa na polisi andaa kama 3 million ,tena ukishamalizana nao itelekeze maana wanatabia wa kukuzunguka mbele ya safari unakamatwa, ukikamatwa na DCEA habari yako kwisha kabisa

Ukitoboa umetoka,tena ukikutana na exporter mkubwa wananua kwa bei nzuri sana

ONYO: Kwa sheria za sasa Tanzania ukikamtwa na zaid ya kg 20 hupati dhamana,kifungo chake ni kinaweza kuwa ata Maisha jela

Kwa hiyo msidanganyike na bei mtaozea jela,Tutafute hela kwa njia halali Bangi madhara yake ni makubwa ktk jamii
 
Ukiweza kuuza nje unae mtonyo wa kushato angalia hapa [emoji116][emoji116]
Japan Illegall Price in usd 32.66 per one gram
Seoul Illegal Price in usd 32.44
Kyoto japan Illegal price in usd 29.65
Hong kong illegal p in usd 27.48



Zingine ntaleta kesho ila hamna sehemu utauza nchi za nje uuze Chini ya 2 dollars per Gram sasa gunia lina gram ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…