Obama wa Bongo, Hii ni biashara nzuri kama sheria zitaweka iwe inalimwa kwa Ku export itasaidia kunyanyua hali za wakulima sana kuliko kutegemea mazao kama mbaazi ambayo kg 150
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiweza kuuza nje unae mtonyo wa kushato angalia hapa [emoji116][emoji116]
Japan Illegall Price in usd 32.66 per one gram
Seoul Illegal Price in usd 32.44
Kyoto japan Illegal price in usd 29.65
Hong kong illegal p in usd 27.48
Zingine ntaleta kesho ila hamna sehemu utauza nchi za nje uuze Chini ya 2 dollars per Gram sasa gunia lina gram ngapi?
illigall!!!Ukiweza kuuza nje unae mtonyo wa kushato angalia hapa [emoji116][emoji116]
Japan Illegall Price in usd 32.66 per one gram
Seoul Illegal Price in usd 32.44
Kyoto japan Illegal price in usd 29.65
Hong kong illegal p in usd 27.48
Zingine ntaleta kesho ila hamna sehemu utauza nchi za nje uuze Chini ya 2 dollars per Gram sasa gunia lina gram ngapi?
Ok.. je, Legal price Ni ngapi?Ukiweza kuuza nje unae mtonyo wa kushato angalia hapa [emoji116][emoji116]
Japan Illegall Price in usd 32.66 per one gram
Seoul Illegal Price in usd 32.44
Kyoto japan Illegal price in usd 29.65
Hong kong illegal p in usd 27.48
Zingine ntaleta kesho ila hamna sehemu utauza nchi za nje uuze Chini ya 2 dollars per Gram sasa gunia lina gram ngapi?
Kulima bangi sio tatizo, mziki ni kusafirishaNimemsikia mbunge mmoja anasema hapa Tanzania gunia moja la bangi ni Tsh. 4,000,000/= na huko Zimbabwe ni USD 7,000/=. Eka moja ya bangi unapata gunia 6.
Sasa kwa nini nife masikini wakati fedha za bangi ziko nje nje. Na isitoshe bangi haipati magonjwa wala hailiwi na wadudu.
Potelea mbali nikikamatwa ni ajali kazini!!
Morogoro Tsh 600,000 na kuisafirisha ni simple ndio maana ganja nyingi inayotumiwa Dar ni ya Morogorosame milimani 800,000
tarime 1000,000
morogoro 600,000
karagwe 500,000
kazi kusafirisha ndio balaaa ukikamatwa na polisi andaa kama 3 million ,tena ukishamalizana nao itelekeze maana wanatabia wa kukuzunguka mbele ya safari unakamatwa, ukikamatwa na DCEA habari yako kwisha kabisa
ukitoboa umetoka,tena ukikutana na exporter mkubwa wananua kwa bei nzuri sana
ONYO: Kwa sheria za sasa Tanzania ukikamtwa na zaid ya kg 20 hupati dhamana,kifungo chake ni kinaweza kuwa ata Maisha jela
kwa hiyo msidanganyike na bei mtaozea jela,Tutafute hela kwa njia halali Bangi madhara yake ni makubwa ktk jamii
Hizo Bei ni kwa junia, au ??Same milimani 800,000
Tarime 1000,000
Morogoro 600,000
Karagwe 500,000
Kazi kusafirisha ndio balaaa ukikamatwa na polisi andaa kama 3 million ,tena ukishamalizana nao itelekeze maana wanatabia wa kukuzunguka mbele ya safari unakamatwa, ukikamatwa na DCEA habari yako kwisha kabisa
Ukitoboa umetoka,tena ukikutana na exporter mkubwa wananua kwa bei nzuri sana
ONYO: Kwa sheria za sasa Tanzania ukikamtwa na zaid ya kg 20 hupati dhamana,kifungo chake ni kinaweza kuwa ata Maisha jela
Kwa hiyo msidanganyike na bei mtaozea jela,Tutafute hela kwa njia halali Bangi madhara yake ni makubwa ktk jamii
Kinachaofanya bangi na madawa ya kulevya yawe na bei kubwa ni uharamu wake unaofanya yawe adimu. Hivi vitu vikihalalishwa vitakuwa havina bei kabisa. Kuna wataalam walishashauri kama kweli dunia inataka kuondoa tatizo la madawa ya kulevya basi yahalalishwe. Yakishuka bei na kutokuwa na faida yatapoteza umaarufu.Haiwezi kushuka bei kwa kuwa itakuwa for export only!
Na vijana wengi watakuwa mataira na hasa katika nchi za kiafrika.Kinachaofanya bangi na madawa ya kulevya yawe na bei kubwa ni uharamu wake unaofanya yawe adimu. Hivi vitu vikihalalishwa vitakuwa havina bei kabisa. Kuna wataalam walishashauri kama kweli dunia inataka kuondoa tatizo la madawa ya kulevya basi yahalalishwe. Yakishuka bei na kutokuwa na faida yatapoteza umaarufu.
Polisi wa Tanzania bwana,a nakukamata unampa rushwa anampigia simu afande mwenzake naye akukamate wakati wenzao wa Uganda ukitoa rushwa kwa askari mmoja ukikamatwa tena unamuambia nimeishatoa rushwa kwa mwenzako na mambo yanaisha!Same milimani 800,000
Tarime 1000,000
Morogoro 600,000
Karagwe 500,000
Kazi kusafirisha ndio balaaa ukikamatwa na polisi andaa kama 3 million ,tena ukishamalizana nao itelekeze maana wanatabia wa kukuzunguka mbele ya safari unakamatwa, ukikamatwa na DCEA habari yako kwisha kabisa
Ukitoboa umetoka,tena ukikutana na exporter mkubwa wananua kwa bei nzuri sana
ONYO: Kwa sheria za sasa Tanzania ukikamtwa na zaid ya kg 20 hupati dhamana,kifungo chake ni kinaweza kuwa ata Maisha jela
Kwa hiyo msidanganyike na bei mtaozea jela,Tutafute hela kwa njia halali Bangi madhara yake ni makubwa ktk jamii
Hakuna sehemu imethibitika kuwa matumizi sahihi ya bangi yanasababisha ugonjwa wa akili, pombe inaongoza kwa kuharibu akili ila ajabu imeharalishwa!Na vijana wengi watakuwa mataira na hasa katika nchi za kiafrika.
Duh msitushawishi jamani. Mbona pesa nyingi sana hiziUkiweza kuuza nje unae mtonyo wa kushato angalia hapa [emoji116][emoji116]