Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Nimemsikia mbunge mmoja anasema hapa Tanzania gunia moja la bangi ni Tsh. 4,000,000/= na huko Zimbabwe ni USD 7,000/=. Eka moja ya bangi unapata gunia 6.
Sasa kwa nini nife masikini wakati fedha za bangi ziko nje nje. Na isitoshe bangi haipati magonjwa wala hailiwi na wadudu.
Potelea mbali nikikamatwa ni ajali kazini!!