Kwa bei hii ya bangi najitosa kuilima

Obama wa Bongo, Hii ni biashara nzuri kama sheria zitaweka iwe inalimwa kwa Ku export itasaidia kunyanyua hali za wakulima sana kuliko kutegemea mazao kama mbaazi ambayo kg 150
 
Mimi nina sehemu nzuri tu inafaa kupanda bangi ,lakini siwezi fanya hivo .Bangi si kitu kizuri kwenye jamii yetu.
 


Acha kushawishi vijana waliomo huku na hawana ajira.


China mtu akikamatwa ananyongwa tu ,hiyo haipunduliwi na mtu .
 
Kwa marekani,watu wanaofanya kazi kwenye bustani za bangi hulipwa mpaka 1000$ kwa wiki
 
illigall!!!
 
Inawezekana ikawa ndio Bei yake...gharama kubwa ni njisi ya kuifikisha sokoni!
 
Ok.. je, Legal price Ni ngapi?
 
Kulima bangi sio tatizo, mziki ni kusafirisha
 
Morogoro Tsh 600,000 na kuisafirisha ni simple ndio maana ganja nyingi inayotumiwa Dar ni ya Morogoro
 
Hizo Bei ni kwa junia, au ??
 
Haiwezi kushuka bei kwa kuwa itakuwa for export only!
Kinachaofanya bangi na madawa ya kulevya yawe na bei kubwa ni uharamu wake unaofanya yawe adimu. Hivi vitu vikihalalishwa vitakuwa havina bei kabisa. Kuna wataalam walishashauri kama kweli dunia inataka kuondoa tatizo la madawa ya kulevya basi yahalalishwe. Yakishuka bei na kutokuwa na faida yatapoteza umaarufu.
 
Na vijana wengi watakuwa mataira na hasa katika nchi za kiafrika.
 
Polisi wa Tanzania bwana,a nakukamata unampa rushwa anampigia simu afande mwenzake naye akukamate wakati wenzao wa Uganda ukitoa rushwa kwa askari mmoja ukikamatwa tena unamuambia nimeishatoa rushwa kwa mwenzako na mambo yanaisha!
 
Na vijana wengi watakuwa mataira na hasa katika nchi za kiafrika.
Hakuna sehemu imethibitika kuwa matumizi sahihi ya bangi yanasababisha ugonjwa wa akili, pombe inaongoza kwa kuharibu akili ila ajabu imeharalishwa!
 
Duh msitushawishi jamani. Mbona pesa nyingi sana hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona hamtupi bei ya mbegu tuingine shamba wakiwa bize na corona sisi tutoboe maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…