Miaka 35 bado unamuita Binti!?Naongea na mabinti wa miaka 35 au zaidi. Huu umri kama upo single ni mkubwa kwa mwanadada hivyo kuna mambo lazima ukubaliane nayo kuwa hayapo upande wako kwa sasa. Ukishupaza shingo shauri yako.
So what? Wewe mama, usituongelee wanaumeMbona nimekuwa nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu?
Mimi ni baba yako wa kambo... nitakupa laanaSo what? Wewe mama, usituongelee wanaume
Wewe ni mama. Kuanzia lini umegeuka kuwa baba?Mimi ni baba yako wa kambo... nitakupa laana
Be Blessed my sweet mom, me and Dady loves youUnaharibu uzi jomba.
Ko mzee wako ana mchapa huyo mshangazi?Be Blessed my sweet mom, me and Dady loves you
Hongera mzee wa hovyo kwa kutumia vema uhuru wako wa fake ID.Be Blessed my sweet mom, me and Dady loves you
Miaka 35 sio binti, uyo ni bibi mtarajiwa.Naongea na mabinti wa miaka 35 au zaidi. Huu umri kama upo single ni mkubwa kwa mwanadada hivyo kuna mambo lazima ukubaliane nayo kuwa hayapo upande wako kwa sasa. Ukishupaza shingo shauri yako.
Endapo umepata mwanaume aliye tayari kukuoa mwenye umri kukuzidi lazima ukubali kuwa hakutakuwa na mambo kama ya wapenzi wenye umri mdogo (under 30s).
Mtu mwenye umri huo hawezi kuwa na mambo ya kukutumia message za umekula? Umevaa nini? Au zingine za kitoto. Vinginevyo utafute Mario mwenye umri mdogo ili akupe attention za namna hiyo. Sisi watu wazima hatutaweza. Pia sisi huwa tunatuma message au kupiga mara 2 tu kwa siku. Asubuhi na jioni. Sio kila mara kuchat hovyo.
Kimsingi binti mwenye umri mkubwa achana na mambo ya kutaka attention kama binti wa miaka 22. Wewe muda wako ushapita.
Kwa mujibu wa Mshangazi mwenyewe MamaSamia2025 ameamua ku break newsKo mzee wako ana mchapa huyo mshangazi?
Wewe mngese wa enzi za TANU naona unaniandama sana...Kwa mujibu wa Mshangazi mwenyewe MamaSamia2025 ameamua ku break news
Wewe ndio msng dume zima unajiitaje mama, kama sio kuwashwa huko nyuma?Wewe mngese wa enzi za TANU naona unaniandama sana...
Sorry brother, mi nilikuwa najua ni utani tu, Ila kuna sehemu nimeona inasema nilikuwa nikikutukana.Wewe mngese wa enzi za TANU naona unaniandama sana...
Mkuu usimtukane mtu ili baadae usingizie utani au pombe. Hakunaga utani wa matusi bro.Sorry brother, mi nilikuwa najua ni utani tu, Ila kuna sehemu nimeona inasema nilikuwa nikikutukana.
Nisamehe kwa neno lolote ambalo limekukwaza
Rekebisha uzi, ni wanawake kuanzia miaka 30 ndo uzee kwa mwanamke unaanzia hapo.Naongea na mabinti wa miaka 35 au zaidi. Huu umri kama upo single ni mkubwa kwa mwanadada hivyo kuna mambo lazima ukubaliane nayo kuwa hayapo upande wako kwa sasa. Ukishupaza shingo shauri yako.
Endapo umepata mwanaume aliye tayari kukuoa mwenye umri kukuzidi lazima ukubali kuwa hakutakuwa na mambo kama ya wapenzi wenye umri mdogo (under 30s).
Mtu mwenye umri huo hawezi kuwa na mambo ya kukutumia message za umekula? Umevaa nini? Au zingine za kitoto. Vinginevyo utafute Mario mwenye umri mdogo ili akupe attention za namna hiyo. Sisi watu wazima hatutaweza. Pia sisi huwa tunatuma message au kupiga mara 2 tu kwa siku. Asubuhi na jioni. Sio kila mara kuchat hovyo.
Kimsingi binti mwenye umri mkubwa achana na mambo ya kutaka attention kama binti wa miaka 22. Wewe muda wako ushapita.
Ulitukanwa tusi GANI?Mkuu usimtukane mtu ili baadae usingizie utani au pombe. Hakunaga utani wa matusi bro.
Ila mi nakumbuka hata yeye ali toa maneno ya kashfa!.Ulitukanwa tusi GANI?
Mkuu hakuna haja ya kuendelea kulumbana.Ulitukanwa tusi GANI?
Ambayo Mimi nikiyachukulia kama utani. Sikuumizwa nayo, tena yeye ndio alinza kuniita mngese.Ila mi nakumbuka hata yeye ali toa maneno ya kashfa!.