Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Ila kwakuwa uli kuwa utani, sioni haja ya kuendelea kukumbushia.Ambayo Mimi nikiyachukulia kama utani. Sikuumizwa nayo, tena yeye ndio alinza kuniita mngese.
Single mother againNaongea na mabinti wa miaka 35 au zaidi. Huu umri kama upo single ni mkubwa kwa mwanadada hivyo kuna mambo lazima ukubaliane nayo kuwa hayapo upande wako kwa sasa. Ukishupaza shingo shauri yako.
Endapo umepata mwanaume aliye tayari kukuoa mwenye umri kukuzidi lazima ukubali kuwa hakutakuwa na mambo kama ya wapenzi wenye umri mdogo (under 30s).
Mtu mwenye umri huo hawezi kuwa na mambo ya kukutumia message za umekula? Umevaa nini? Au zingine za kitoto. Vinginevyo utafute Mario mwenye umri mdogo ili akupe attention za namna hiyo. Sisi watu wazima hatutaweza. Pia sisi huwa tunatuma message au kupiga mara 2 tu kwa siku. Asubuhi na jioni. Sio kila mara kuchat hovyo.
Kimsingi binti mwenye umri mkubwa achana na mambo ya kutaka attention kama binti wa miaka 22. Wewe muda wako ushapita.
Ila kisaikolojia wanasema women , wanahitaji attention Kama kupigwa pigiwa phone , messages n.kKudekezana na hizo za kuulizana ulizana nionavyo hata hazina umri bali ni jinsi tu mtakavyo kuwa mmejizowesha na huyo mtu mzima mwenzako toka mwanzo.
Mkijizowesha kuwasiliana mara mbili kama dawa za asubuhi na jioni basi mtaendelea vivyo hivyo na mkijizowesha kuwasiliana kila nafasi inapopatikana kwa kuulizana umekula, kupeana pole hiyo pia inaendelea siku zote.
Kweli kabisa usemalo Mkuu.Ila kisaikolojia wanasema women , wanahitaji attention Kama kupigwa pigiwa phone , messages n.k
Sasa mtoa mada si atakuwa anaenda against the nature of women , maana hata ile kutongozwa mwanamke nasikia anafurahia.
Pole, yaliyopita SI ndweleIla kwakuwa uli kuwa utani, sioni haja ya kuendelea kukumbushia.
maana hata mimi sikushiriki, ila Cha ajabu aka niita kenge.
Amani itawale.