Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Hivi mtu analipwa laki 7, 8, 5, 6, 4,3 au milioni 1, 1.5 na milioni 2 huyo umaskini utamtaka vipi?
Usafiri na kula 20k per day hapo nyumbani 20 jumla 40 kwa siku. Hapo ukiweka, ada, umeme, ndugu, michango, dharura, mavazi n.k jibu linakuja NEGATIVE.
Wengine wanaamua kukopa walipwe 33% tu ya mshahara ili wajenge na kwa kukosa akili wanajisifu kuwa wanejenga.
Mtumishi mmoja wa umma alikuwa anajimwambafai kuwa nyumbani kwake kila Jumapili wanapika nyama.
Daaahh 😭 😭 😭 😭.
Mungu nipe akili niachane na kuajiriwa.