Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
TatizoWengine wanaamua kukopa walipwe 33% tu ya mshahara ili wajenge na kwa kukosa akili wanajisifu kuwa wanejenga.
Mtumishi mmoja wa umma alikuwa anajimwambafai kuwa nyumbani kwake kila Jumapili wanapika nyama.
Daaahh π π π π.
Kweli kabisa watu wengi hasa wasomi wana maisha yaWatu wote hawawezi kujiajiri, dunia lazima iwe na kuajiriwa na kujiajiri, na aliyeajiriwa pia anaweza kuwa mwajiri.
Na haya maisha pia kila mtu na malengo yake!
Kweli mkuu shida ni msingi kuupata.Kujiajiri, ni kuzuri Tu Kwa kutamka, mtu kama Una mtaji mdogo na Kwa mfumo wetu walah utatamani hata Ajira ya kulipwa laki tano.
Unaweza pia ukawa na mtaji na ukafeli biashara sio mchezo.Kweli mkuu shida ni msingi kuupata.
Kabisa, na ukikodi ka flem ndo umeishaaaa...Unaweza pia ukawa na mtaji na ukafeli biashara sio mchezo.
Wengi ni wachuuzi tuu vipato vyao vidogo vidogo wanafanya tuu
hawana namna nyingine.
Mazingira ya biashara kwa bongo sio marahisi sana
inahitaji uwe stable, network kubwa n.k
Hello!
Hivi mtu analipwa laki 7, 8, 5, 6, 4,3 au milioni 1, 1.5 na milioni 2 huyo umaskini utamtaka vipi?
Usafiri na kula 20k per day hapo nyumbani 20 jumla 40 kwa siku. Hapo ukiweka, ada, umeme, ndugu, michango, dharura, mavazi n.k jibu linakuja NEGATIVE.
Wengine wanaamua kukopa walipwe 33% tu ya mshahara ili wajenge na kwa kukosa akili wanajisifu kuwa wanejenga.
Mtumishi mmoja wa umma alikuwa anajimwambafai kuwa nyumbani kwake kila Jumapili wanapika nyama.
Daaahh π π π π.
Mungu nipe akili niachane na kuajiriwa.