SEARCH KWENYE WEBSITE HIIHabari wana-JF kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ningependa kujua ni gari gani ya kuagiza kutoka Japan inaweza kupatikana kwa 17m baada ya kodi. Yaani mpaka inafika mkononi icheze kwenye 17 na ikizidi sana basi 18m.
Ni gari kwa ajili ya familia na mizunguko ya hapa na pale tu mjini.
SUV itakuwa chaguo zuri ila kwa hiyo budget sijui kama inatosha kupata SUV nzuri. Hatchback nayo inafaa.Sijui wengine watasemaje ila too general, hapo models kibao za gari utapata.
Atleast ungesema SUV au sedan au Hatchback ili kupunguza selection.
Au Toyota, Nissan au Subaru.
Maana mi nikisikia gari la Familia nawaza Alphard mwingine anawaza Crown.
Pesa kubwa iyo mkuu. Inatosha. Forester, Mitsubishi RVR, ..SUV itakuwa chaguo zuri ila kwa hiyo budget sijui kama inatosha kupata SUV nzuri. Hatchback nayo inafaa.
Forester ya milioni 17 ya mwaka gani mkuu!!Pesa kubwa iyo mkuu. Inatosha. Forester, Mitsubishi RVR, ..
Basi akomae na RVR kama ataipendaForester ya milioni 17 ya mwaka gani mkuu!!
Labda za mwaka 2003-2004
Mistubish shogun piaPesa kubwa iyo mkuu. Inatosha. Forester, Mitsubishi RVR, ..
Vellfire? Picha linaanza ushuru wake 12M hiyo ya 2008Toyota alphard na toyota velfire mistubish outlander toyota highlander
Kudadeki? LiveVellfire? Picha linaanza ushuru wake 12M hiyo ya 2008
Bila 25M hupati hiyo gari.. yard unapigwa na kitu kizito kwa 28M.. huyu mtoa mada best option avizie Toyota Rumion au noah 2008. hii (noah)kwa bajeti hiyo akeshe Sbt kuvizia (new arrival)Kudadeki? Live
Hao jamaa bei zao hatari
Hawa jamaa mbona bei zao za Kifaza Sana
Haayo magari yote labda ya 2006-2000
Crown 👑 ni ya kuopolea mademSijui wengine watasemaje ila too general, hapo models kibao za gari utapata.
Atleast ungesema SUV au sedan au Hatchback ili kupunguza selection.
Au Toyota, Nissan au Subaru.
Maana mi nikisikia gari la Familia nawaza Alphard mwingine anawaza Crown.