Kwa budget ya 17m napata gari gani kutoka Japan

Forgotten

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,518
Reaction score
10,839
Habari wana-JF kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ningependa kujua ni gari gani ya kuagiza kutoka Japan inaweza kupatikana kwa 17m baada ya kodi. Yaani mpaka inafika mkononi icheze kwenye 17 na ikizidi sana basi 18m.

Ni gari kwa ajili ya familia na mizunguko ya hapa na pale tu mjini.
 
Sijui wengine watasemaje ila too general, hapo models kibao za gari utapata.

Atleast ungesema SUV au sedan au Hatchback ili kupunguza selection.

Au Toyota, Nissan au Subaru.

Maana mi nikisikia gari la Familia nawaza Alphard mwingine anawaza Crown.
 
SEARCH KWENYE WEBSITE HII

Sijui wengine watasemaje ila too general, hapo models kibao za gari utapata.

Atleast ungesema SUV au sedan au Hatchback ili kupunguza selection.

Au Toyota, Nissan au Subaru.

Maana mi nikisikia gari la Familia nawaza Alphard mwingine anawaza Crown.
SUV itakuwa chaguo zuri ila kwa hiyo budget sijui kama inatosha kupata SUV nzuri. Hatchback nayo inafaa.
 
Ingia befoward, Sbt japan n.k angalia gari za bajeti yako na gharama mpaka kufika bandari husika, ingia TRA car calc ingiza taarifa za gari itakupa ushuru utapata picha halfu njoo sasa uulize kuhusu gharama za ziada nje ya hizo rasmi zinazoweza kujitokeza kwa gari husika.

Jitahidi kutotafuniwa kila kitu boss, matapeli wanapenda watu wanaowaachia kila kitu wafanye.
 
Sijui wengine watasemaje ila too general, hapo models kibao za gari utapata.

Atleast ungesema SUV au sedan au Hatchback ili kupunguza selection.

Au Toyota, Nissan au Subaru.

Maana mi nikisikia gari la Familia nawaza Alphard mwingine anawaza Crown.
Crown 👑 ni ya kuopolea madem
 
Back
Top Bottom