Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,518
- 10,839
Habari wana-JF kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ningependa kujua ni gari gani ya kuagiza kutoka Japan inaweza kupatikana kwa 17m baada ya kodi. Yaani mpaka inafika mkononi icheze kwenye 17 na ikizidi sana basi 18m.
Ni gari kwa ajili ya familia na mizunguko ya hapa na pale tu mjini.
Ni gari kwa ajili ya familia na mizunguko ya hapa na pale tu mjini.