promethus
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 1,164
- 1,901
Vp khs kasi ya internet kwa hii simu?Chukua hii simu hautajuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp khs kasi ya internet kwa hii simu?Chukua hii simu hautajuta.
Na vipi ina support apps za Google?Hapo Kajipatie xiaomi redmi 10c
![]()
Xiaomi Redmi 10C - Full phone specifications
Xiaomi Redmi 10C Android smartphone. Announced Mar 2022. Features 6.71″ display, Snapdragon 680 4G chipset, 5000 mAh battery, 128 GB storage, 4 GB RAM, Corning Gorilla Glass.m.gsmarena.com
Kama kawaidaNa vipi ina support apps za Google?
Sio kweli samsung A12 ni utoko bora hata anaetumia infinix note 11350 hata samsung A12 anapata simu kali tuu sio hayo ma infinix
[emoji3][emoji3][emoji3]Infinikisi inakuhusu wewe
Mzee embu chukua hiyo utokuja jutiaNa vipi ina support apps za Google?
Habari zenu wakuu
Kwa budget ya 350K naweza pata simu aina gani mpya madukani?. Pia naomba kujuzwa specifications zake kama RAM, storage, battery life, pamoja na anroid version.