Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Udikteta sio tatizo afrika tatizo ni ma chawa kama nyie hofu yenu akiingia mwingine mtakufa njaa.Hakuna Cha kumzuia Magufuli kua Raisi mpaka 2040 muda utaongea
Behind the scenesHakuna mwana ccm anaefanya uratibu wa hayo maandamano bali ni vichaa flani wanataka kuleta tafrani na kichaa kisheria ni mtu asiyejitambua hana madhara hivyo msijali
Wanatumika kama kondomu kisha wanatupwa wanakuja ungana na Jamii hio hio iliyopinga hayo.wapo wapi hawa chawa Bashite, nkamia, Kessy,musiba, lugola mbona awaimbi tena chorus baada ya shibe kukoma.Mtu mweusi ni duni Sana kwenye kujikomboa kifikra.Kwa ufahamu wangu ni kwamba kiongozi huyu ataongeza muda sina taabu kktk hili na yeye mwenyewe ndiye anaeratibu hili nilisha jipanga siku nyiingi na hao wanaoshadadia madaraka ya milele wakisha maliza kazi yao watafurumushwa na huyo walemteua na kisha woote bila kujali rangi, dini wala vyama tutaungana woote kumuondoa.
China ya nini tena jaman si tulikubaliana hatupangiwi wala hatuigi mtu yyte.Tunaandama msitutishe tunataka rais wetu mpendwa aongezewe mda ili inchi yetu izidi kupaa, china wameweza sisi tushindwe tuna nini.
Kipi cha maana alichofanya.China ni sahihi sababu ameiunua maisha ya wachini na sio kugusa chawa wachache huku wanyonge wakinyongeka.Tunaandama msitutishe tunataka rais wetu mpendwa aongezewe mda ili inchi yetu izidi kupaa, china wameweza sisi tushindwe tuna nini.
Swali langu ni moja tu wenzie walio muachia madaraka wangekuwa na tamaa kama zake yeye angepata nafasi hiyo anayo itaka kuing'ang'ania? Hivi huyu ndiye anajihubiria kila siku kuwa ni mzalendo? Uzalendo ni kuratibu mipango ya kubaki madarakani?Hakuna Cha kumzuia Magufuli kua Raisi mpaka 2040 muda utaongea
Wewe ni msukule usiojitambua!Hakuna Cha kumzuia Magufuli kua Raisi mpaka 2040 muda utaongea