polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 4,158
- 7,667
Niliifuatilia ile sinema eti yupo na polepole anamwagiza akawaambie ccm kuwa hataki kuongeza muda , yaani ukiitazama ile clip kwa uzuri kabisa unaona kabisa kuna usanii na maigizo pale yanafanyika.Ukiona hivyo ujue watu wapo mezani wanakula na mfalme, wasiwasi wao ni kuwa akija mfalme mwingine huenda wakakosa ulaji.
Nampenda Rais magufuli lakini kwa hili la kutaka kujiongezea muda kinyume na utaratibu walio uacha wenzie walio muachia madaraka hapana siungani naye kabisa kwa hilo.