Kwa CCM mnaoratibu mipango ya Maandamano Rais aongezewe muda, kumbukeni na haya.

Ukiona hivyo ujue watu wapo mezani wanakula na mfalme, wasiwasi wao ni kuwa akija mfalme mwingine huenda wakakosa ulaji.
Niliifuatilia ile sinema eti yupo na polepole anamwagiza akawaambie ccm kuwa hataki kuongeza muda , yaani ukiitazama ile clip kwa uzuri kabisa unaona kabisa kuna usanii na maigizo pale yanafanyika.

Nampenda Rais magufuli lakini kwa hili la kutaka kujiongezea muda kinyume na utaratibu walio uacha wenzie walio muachia madaraka hapana siungani naye kabisa kwa hilo.
 
Nampenda Rais magufuli lakini kwa hili la kutaka kujiongezea muda kinyume na utaratibu walio uacha wenzie walio muachia madaraka hapana siungani naye kabisa kwa hilo.
Kwenye hili la kuongeza muhula zaidi wa kutawala nadhani wengi hawam support

Ila akiweza kujiongezea muda, basi watakaomfata watabadili katiba kabisa watawale miaka 20+ ili wanjunje kabisa record ya JKN
 
Ngoja tuone nguvu ya umma na nguvu za dola nani atatoka kidedea kwenye hili.
 
Dawa ya moto ni moto. Wakifanya hayo maandamano na sisi tusiopenda kusikia na kushuhudia huo upuuzi, tujipange tu kando ya barabara kwa ajili ya kuwacharaza viboko.

Hawatokuja warudie kutuletea huo utoto wao. 2015 walifanyiwa hivyo kule Kariakoo, nadhani ni wakati muafaka wa kuwafanyia tena. Policcm siyo wa kuwategemea hata kidogo! maana hao wote ni wale wale tu.
 
Tunaandama msitutishe tunataka rais wetu mpendwa aongezewe mda ili inchi yetu izidi kupaa, china wameweza sisi tushindwe tuna nini.
Jaribuni kwanza kuandamana muone tutakavyo wagaragaza kwenye matope na hayo madera yenu.
 
Kuna watu ukiona wanamtaja sana mungu au kujifanya ni wacha mungu sana kua kua ni wachawi
uwezi kua unaomba watu wakuombee ili uwapelekeshe kama misukule
 
Kuna watu ukiona wanamtaja sana mungu au kujifanya ni wacha mungu sana jua kua ni wachawi
uwezi kua unaomba watu wakuombee ili uwapelekeshe kama misukule
 
Vyama vya upinzani wenye viongozi wa kudumu hawana uhalali wa kukosoa watu wanaohamasisha kiongozi fulani aongezewe muda wa kutawala.Nadhani hili likosolewe na watu wasio na vyama ndio watakuwa sawia kabsa katika hili au wale waliopo kwenye vyama ambavyo katiba haijabadilishwa ili imuweke madarakani kiongozi mmoja.Itakuwa ni unafiki kupinga Magufuli asiongezwe muda wa kuongoza ila ukashangilia kiongozi wako wa Chama kuwaongoza hadi kifo kitakapo watenganisha.Na nitoe msimamo wangu mimi ningepata nafasi ya kumshauri Raisi ningemwambia asiongeze muda ila tu ahakikishe mchakato wa kupata Raisi ajae tunapata raisi mzuri atakae tusogeza mbele zaidi ya hapa tulipo.Pia na kama bajeti inaruhusu basi atuachie katiba inayopendwa na wanachi,Ila kama ni wananchi wengi ndio watataka aongezewe muda basi taheshimu mawazo yao.
 
Alishawaasa akina Lukuvi kuendana na umri na alishasema umri ule ule Kikwete alioachia na yy ana achia kwani vijana wenye uwezo wako wengi
 
Mkuu hayo uliyo andika,Fisi m hawayajui.kani Fisi m wengi hawana vichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…